Wanawake wengi siku hizi wamekuja na suala la "girlfriend allowance". Wanaume, hii imekaaje?

Huo ndo mwanzo wa umasikini na ushoga
 
2) Wanaume siku hizi wanakimbia majukumu (probably hayo ya kulipa girlfriend allowance) ndo maana wanageuzwa, na maneno mengine makali.
Kuna hii narrative ya "Majukumu" ambayo jamii ya waafrika imekuwa ikiaminishana vizazi na vizazi.

Waafrika wanaamini kwamba mtu anayeteseka na majukumu ndio anaye heshimika.

Utaskia "aah yule jamaa ni mpambanaji sana" mara "yule jamaa ni fighter sana"

Maneno hayo yakitamkwa basi asilimia kubwa yanamlenga mtu yule ambaye anafanya kazi katika mazingira magumu na yenye mateso.

Majukumu sio kitu kizuri.

Majukumu si jambo la fahari pekee ni mzigo unaobeba mateso, maumivu, na wakati mwingine unavunja ndoto za mtu binafsi.

Ingekuwa ni kitu kizuri na chenye ufahari basi wao wangekuwa wakwanza kuongoza gurudumu.
 
Nipe nikupe as long ananipa nacho kitaka na mimi na mpa.
Ila ukijifanya sijui slay queen unataka kupokea tu ,utaambulia manyoya hakuna kitu huwa kinaniuma pale napo ona mwanaume anatumikishwa na kuliwa pesa zake huku hapendiwi tujikumbushe kuwa sensitive kwenye hilo eneo.
Mimi hata EX wangu akinitafuta ni msaidie kitu fulani as long as alikiwa ananipa ninacho kitaka kutoka kwakwe namsaidia tu kama ninauwezo
 
Hawa wanawake wengine wa hivi sijui mnawaokoteaga wapi!, mbona uku vijijini kuna wanawake wazuri hawana mambo menge kama hayo!,
Hao wanaooga Mara moja kwa mwezi
Kwa kweli hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…