Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Tunashuhudia katika nyakati hizi Wanawake wengi kutokuwa na haiba ya kike, wengi kuota ndevu, na pia wengi kuwa na haiba za kiume, ubaunsa, ukaidi, ubishi, baadhi utemi, kuvuta bange na N. K,
Nini chanzo cha tatizo hili, maana wanawake kwa jinsi ya uumbaji walipaswa kuwa tulizo kwetu akina baba, mjenzi wa furaha nyumbani, mlezi bora kwa watoto ndani ya familia matokeo yake Wanawake wa sasa baadhi hata kuogesha watoto ni tatizo.
#Tupige soga weekend!