Wanawake wengi wa nyakati hizi kutokuwa na haiba ya kike, tatizo lipo wapi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Tunashuhudia katika nyakati hizi Wanawake wengi kutokuwa na haiba ya kike, wengi kuota ndevu, na pia wengi kuwa na haiba za kiume, ubaunsa, ukaidi, ubishi, baadhi utemi, kuvuta bange na N. K,

Nini chanzo cha tatizo hili, maana wanawake kwa jinsi ya uumbaji walipaswa kuwa tulizo kwetu akina baba, mjenzi wa furaha nyumbani, mlezi bora kwa watoto ndani ya familia matokeo yake Wanawake wa sasa baadhi hata kuogesha watoto ni tatizo.

#Tupige soga weekend!
 
Tunashuhudia katika nyakati hizi Wanawake wengi kutokuwa na haiba ya kike, wengi kuota ndevu, na pia wengi kuwa na haiba za kiume, ubaunsa, ukahidi, ubishi, baadhi utemi, kuvuta bange na N. K,
Nini chanzo cha tatizo hili, maana Wanawake kwa jinsi ya uumbaji walipaswa kuwa tulizo kwetu akina baba, mjenzi wa furaha nyumbani, mlezi bora kwa watoto ndani ya familia matokeo yake Wanawake wa sasa baadhi hata kuogesha watoto ni tatizo,
#Tupige soga weekend!
HAWANA ADABU TU WALA SIO MASHETANI YANAYOWASUMBUA
20230118_084028.jpg
 
Tunashuhudia katika nyakati hizi Wanawake wengi kutokuwa na haiba ya kike, wengi kuota ndevu, na pia wengi kuwa na haiba za kiume, ubaunsa, ukaidi, ubishi, baadhi utemi, kuvuta bange na N. K,

Nini chanzo cha tatizo hili, maana wanawake kwa jinsi ya uumbaji walipaswa kuwa tulizo kwetu akina baba, mjenzi wa furaha nyumbani, mlezi bora kwa watoto ndani ya familia matokeo yake Wanawake wa sasa baadhi hata kuogesha watoto ni tatizo.

#Tupige soga weekend!
Kama hawa?
fca3002e1e96f7fb1008aaf0c237bc05.jpg
 
Ni halali wawe kama wanaume tu na kupoteza haiba. Maana matendo yao yote yamekuwa kama ya kiume kiasi miili yao kudhani ni midume na kuanza kumea ndevu na ubabe.

Unakuta demu linakunywa mzinga wa konyagi kama anakunywa maji. Hata sura haikunji.
Hapo akimaliza anagida safari kama anakunywa soda, kupelekea
kuwa kitambi kama gunia la mahindi.
Ni swala la muda tu, mademu wote sura na miili yao itakuwa kama Pierre Liquid sababu ya ulevi.

Mtoto wa kike anamiliki uume mkubwa wa bandia ambao hata baba yake mzazi alietungisha mimba yake hana.

Binti anapenda pesa kiasi cha kuwa na michezo kama 20 mixer vikoba bila ya kazi yeyote ya msingi. Sasa unatarajia binti asiwe kama dume ili kukidhi kipato chake.
Zamani tulizoea madalali kuwa wanaume tu. Siku hizi kina mama nao madalali na wana sound balaa. Yote kutafuta pesa za marejesho.

Uchi mmoja wa kike unaingiliwa mpaka mara 5 kwa siku na uume tofauti tofauti, sasa hapo unatarajia mwili usihisi kuwa labda ni wa kiume maana saa zote kuna tupu ya kiume ndani yake kupelekea kuji adjust ki hormone na kuanza kumea ndevu?
Ni swala la wakati tu, wataota mpaka mbo*.

Kubwa zaidi wanaume wanataka kulelewa, hawataki kufanya kazi. Sasa hapo ni lazima role zibadilike. Anaelisha familia inabidi amee ndevu na kuwa mbabe.
Mtoto wa kiume anataka alishwe na kuvishwa na mwanamke. Hii inapelekea mpaka ngono kuwa tofauti. Siku hizi si ajabu kusikia toto la kiume linatiwa midole na mwanamke kwenye kufanya mapenzi.
 
Ni halali wawe kama wanaume tu na kupoteza haiba. Maana matendo yao yote yamekuwa kama ya kiume kiasi miili yao kudhani ni midume na kuanza kumea ndevu na ubabe.juu

Unakuta demu linakunywa mzinga wa konyagi kama anakunywa maji. Hata sura haikunji.
Hapo akimaliza anagida safari kama anakunywa soda. Baada ya hapo anaota kitambi kama gunia la mahindi.
Ni swala la muda tu, mademu wote sura na miili yao itakuwa kama Pierre Liquid sababu ya ulevi.

Mtoto wa kike anamiliki uume mkubwa wa bandia ambao hata baba yake mzazi alietungisha mimba yake hana.

Binti anapenda pesa kiasi cha kuwa na michezo kama 20 mixer vikoba bila ya kazi yeyote ya msingi. Sasa unatarajia binti asiwe kama dume ili kukidhi kipato chake.
Zamani tulizoea madalali kuwa wanaume tu. Siku hizi kina mama nao madalali na wana sound balaa. Yote kutafuta pesa za marejesho.

Uchi mmoja wa kike unaingiliwa mpaka mara 5 kwa siku na uume tofauti tofauti, sasa hapo unatarajia mwili usihisi kuwa labda ni wa kiume maana saa zote kuna tupu ya kiume ndani yake kupelekea kuji adjust ki hormone na kuanza kumea ndevu?
Ni swala la wakati tu, wataota mpaka mbo*.

Kubwa zaidi wanaume wanataka kulelewa, hawataki kufanya kazi. Sasa hapo ni lazima role zibadilike. Anaelisha familia inabidi amee ndevu na kuwa mbabe.
Mtoto wa kiume anataka alishwe na kuvishwa na mwanamke. Hii inapelekea mpaka ngono kuwa tofauti. Siku hizi si ajabu kusikia toto la kiume linatiwa midole na mwanamke kwenye kufanya mapenzi.
Thanks umeeleza kwa marefu na mapana kwa kiasi chake. Wengi wameshapoteza kabisa ile hali ya kusisimua, kiasi inakuwa tu kama mmekaa wanaume watupu.
Kibaya kasi zao na kutaka urembo unawasababisha kutumia mikorogo sasa hapa ndipo wanapoharibu kabisa, unakuta mdada wa umri fulani na makucha yameshapinda lakini bado tu yupo na urembo kujitahidi kujiremba katika kucha zilizopinda.
1674281674654.png
 
Tunashuhudia katika nyakati hizi Wanawake wengi kutokuwa na haiba ya kike, wengi kuota ndevu, na pia wengi kuwa na haiba za kiume, ubaunsa, ukaidi, ubishi, baadhi utemi, kuvuta bange na N. K,

Nini chanzo cha tatizo hili, maana wanawake kwa jinsi ya uumbaji walipaswa kuwa tulizo kwetu akina baba, mjenzi wa furaha nyumbani, mlezi bora kwa watoto ndani ya familia matokeo yake Wanawake wa sasa baadhi hata kuogesha watoto ni tatizo.

#Tupige soga weekend!
Na sio hilo tuu hata UTAMU siku hizi hawana kabisa yaani ile Ladha niliyo kuwa naipata miaka ya 90s sahizi hakuna tena yana sijui wakoje.
 
Back
Top Bottom