makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Ukifika kijiweni kweti, agiza kilaji na makulaji.. Mie nitakuja kulipa mzee.Dunia ina wanaume zaidi ya bilioni 6 , jf wanaume labda laki moja tu na I'd za kujiudia kwa mtu mmoja zaidi ya 7.
Yani ukose wanaume billion 6 humo duniani uje ulaumu wanaume laki 7 wa jf🤔
Ujumbe wameupata mkuu,Mimi siwezi kubeti!Maisha ni kubeti mkuu hata hawa vijana waliosoma Ila hawana ajira walibeti so usiogope kubet Ila bet what you can afford to lose.
Kobisi kama kobisi 😂😂Vipi mkuu kuna mwingine kajitokeza anataka nusra !?
Natarajia kuongeza, Nina nafasi 3 zipo wazi.
😂
Nakuunga mkonoAiseee!!!!
Nimejiunga jf 2009,, kwa I'd moja matata..... 2013nikabadili I'd baada ya kupata mchumba na kuolewa!!!!! Toka kipindi hicho nimebadili I'd 5 hii ya SITA herufi kubwa.
Leo hii utafute mwanaume jf Tena miaka hii,,, unaijua jf party wewe???! Jf together party inaijua wewe??!!
Mule kulikuwa na ma handsome yenye akili za maana kazi za maana..... ukimuona tu anatamani akuite na mule Kuna couple tulizishuhudia na mpaka sasa hivi Zina survive........
Mwanaume wa umri wetu tulio kuwa nao alikuwa akikwambia Mimi Fulani na kazi Fulani ilikuwa kweli!¡!! Kama Yuko nje utaoga usd na watu walikuwa really
Unabadili I'd uje jf kutafuta vivulana hivi ambavyo vina type vikiwa sebuleni kwa shemeji...... Vikisisitiza sijui kataa ndoa, mwanamke hahongwi, kojoa usijali kuhusu yeye atajijua. Vikishiba chai ni kuanzisha nnyuzi mwanamke hivi mara vileeee!!!!!?
Hata hivyo jf inshu zake ni changamsha genge lakini katika kuchangamsha hilo genge tafuteni ukweli na muuandike.
Nikwambie tu hii forum ukiitumia vizuri utakutana na watu usiotarajia kukutana nao..... Kuhusu connection hapa ni sehemu nzuri sana inayoweza kuku connect na wenye Tanzania yao.
😁😁😁Ujumbe wameupata mkuu,Mimi siwezi kubeti!
🤣😂 Kikala, MTU wa miraba 10, tipwa tipwa...Kobisi kama kobisi 😂😂
jamaa ka hustle zamani Sana, gen z ime mpa umaarufu zaidi🤣😂 Kikala, MTU wa miraba 10, tipwa tipwa...
Kilo za guinea la mchele 🤣😂
Maisha gumbo mkuu... Kaka kutoboa sehemu hata hajatarajia, miaka kapata nguvu ya kuchukua fomu ya ubunge.jamaa ka hustle zamani Sana, gen z ime mpa umaarufu zaidi
Hatari sanaMaisha gumbo mkuu... Kaka kutoboa sehemu hata hajatarajia, miaka kapata nguvu ya kuchukua fomu ya ubunge.
Naungana na wewe dada,JF ina watu bwana!!!Aiseee!!!!
Nimejiunga jf 2009,, kwa I'd moja matata..... 2013nikabadili I'd baada ya kupata mchumba na kuolewa!!!!! Toka kipindi hicho nimebadili I'd 5 hii ya SITA herufi kubwa.
Leo hii utafute mwanaume jf Tena miaka hii,,, unaijua jf party wewe???! Jf together party inaijua wewe??!!
Mule kulikuwa na ma handsome yenye akili za maana kazi za maana..... ukimuona tu anatamani akuite na mule Kuna couple tulizishuhudia na mpaka sasa hivi Zina survive........
Mwanaume wa umri wetu tulio kuwa nao alikuwa akikwambia Mimi Fulani na kazi Fulani ilikuwa kweli!¡!! Kama Yuko nje utaoga usd na watu walikuwa really
Unabadili I'd uje jf kutafuta vivulana hivi ambavyo vina type vikiwa sebuleni kwa shemeji...... Vikisisitiza sijui kataa ndoa, mwanamke hahongwi, kojoa usijali kuhusu yeye atajijua. Vikishiba chai ni kuanzisha nnyuzi mwanamke hivi mara vileeee!!!!!?
Hata hivyo jf inshu zake ni changamsha genge lakini katika kuchangamsha hilo genge tafuteni ukweli na muuandike.
Nikwambie tu hii forum ukiitumia vizuri utakutana na watu usiotarajia kukutana nao..... Kuhusu connection hapa ni sehemu nzuri sana inayoweza kuku connect na wenye Tanzania yao.
Kabisa yaani watu ni wa maana humu ndani...... Vijana wanajisahau wenyewe ni kupondea tu!.Naungana na wewe dada,JF ina watu bwana!!!
Hahahaahaaa!!!!Nakuunga mkono
Ila 😂😂Hivi hii" kojoa usijali kuhusu yenye_ sio umenilemga mimi
Leo dada, Mungu anakuona 😂🤣
Tundazuri zuri km tunda kuliwaSawa haszu.
Mimi siku hizi nimewashtukia kitamboNgoja siku mafekero yaunganishwe utashangaa sana nani mmiliki🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Mtu anajidai kuwa na ID anayojidai ni ya heshima halafu anafungua haya mafekero kuja kusumbua watu.
Basi kama unaiona sana... Itakuwa si mimiHahahaahaaa!!!!
Kiukweli hiyo naiona sana lakini muandishi simjui..... Sio wewe bwana kuwa na amani.
PoaBasi kama unaiona sana... Itakuwa si mimi
Mara Moja Moja huwa naitumia kuchangamsha baraza.
😂
😂😂😂Bado hajamaliza ,usishangae mumewe ndio huyu Busu la Kenge kaja na I'd nyingine baada ya kuoana🤔