Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

Mwanaume akishajiweza kifedha kiburi ni asili yetu ni vile tu hujakutana na anayejiweza. Yaani tuna kiburi cha asili labda mfukoni kuwe empty. Ila na mipesa asilimia 95% humwambii kitu we NENDA tu kaolewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila kiburi hicho hicho wakiwa nacho wanawake mnawaona wabaya! Imagine wewe tu ambaye kutafuta hela ni jukumu lako ukizipata unakuwa na kiburi sasa iweje mwanamke ambaye hilo siyo jukumu lake akizipata asiwe na hicho kiburi!
 
Mkuu bongo hii hao wanaume wanaoweza kuwapangishia mahawara apartments na kuwapandisha ndege ni asilimia ngapi? Kuwa tu mkweli!
 
Wenzio hawajakutana na wanawake pasua kichwa,
 
Ila kiburi hicho hicho wakiwa nacho wanawake mnawaona wabaya! Imagine wewe tu ambaye kutafuta hela ni jukumu lako ukizipata unakuwa na kiburi sasa iweje mwanamke ambaye hilo siyo jukumu lake akizipata asiwe na hicho kiburi!
Mkuu Wanawake wengi hawana kiburi ila wanakuwa na roho mbaya wakiwa na pesa. Filisika ujue tabia ya mkeo.
 
Mkuu kula maji baridi kubwa hapo kwa mangi nitalipia mimi wewe weka namba ya m-pesa hapa.nashukuru kwa uzi huu kwa maana changamoto za wife ni kelele mwanzo mwisho kiasi kwamba nimeshawaza kuita vijana tumfunge kamba kisha nimpeleke moja kwa moja kwenye ward ya vichaaa ili wamdunge zile sindano za machizi za kuvimbisha ulimi labda atajirekebisha au nikamtupe kwenye gari la taka
 
Oohh kwahiyo mkiwa nazo ninyi ni kiburi ila wakiwa nazo wao ni roho mbaya siyo? Kinachofanya kwenu iwe ni kiburi na kwao iwe ni roho mbaya ni kipi hasa yaani tofauti yake hapo iko wapi?

Wanaroho mbaya mkuu we chunguza, Ukioa wadada wajanja wajanja waliojaa mjini usipokuwa na pesa na yeye hana pesa anaachia na kutembea na wenye nazo kisingizio ww hutimizi majukumu.

Akiwa na pesa usipokuwa nazo atatembea na serengeti boy kisingizio we humpi penzi kama anavyotaka🤣🤣.

Ukiwa nazo yeye hana wewe ni baby ila tatizo kibamia. 🤣🤣🤣🤣

Ila wanaume akiwa na pesa na mkewe akiwa mstaarabu mara chache sana kuleta figisu. Anaweza chepuka ila mke wake ni kila kitu kwake.
 
Ndoa..mmmh. tuache tu hii kitu. Malezi yanachangia sana... Ni swala la kutokujali na kuthaminiana.. siku hizi hakuna benefit of the doubt.. mnaingia kwenye ndoa kutafutiana makosa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
"Anaweza chepuka ila mke wake ni kila kitu kwake"! Wow kwahiyo kwa mwanaume kuchepuka ni sahihi eh?
 
Mkuu bongo hii hao wanaume wanaoweza kuwapangishia mahawara apartments na kuwapandisha ndege ni asilimia ngapi? Kuwa tu mkweli!
Mkumbushe kwamba kwa maisha haya ya sasa wanaume wa hivyo wachache Sana, na je ni kila siku utapanda ndege kwenda na kurudi... 🤓🤓🤓
 
Hawa ndugu hawajawahi kuridhika na haijawahi fahamika wanataka nini mpaka sasa🤔🤔

Jamaa mmoja anasemaga unaweza mpenda mwanamke ukamnunulia gari, kesho yake akatembea na mshkaji aliyemwekea mafuta ya elfu kumi..😇😇
 
"Anaweza chepuka ila mke wake ni kila kitu kwake"! Wow kwahiyo kwa mwanaume kuchepuka ni sahihi eh?
Kuna interview moja ya dokta mwaka aliwahi kuzungumzia swala hili ngoja niilete😎😎😎
 
"Anaweza chepuka ila mke wake ni kila kitu kwake"! Wow kwahiyo kwa mwanaume kuchepuka ni sahihi eh?
Si sahihi ila huwa inatokea. Ni kama kuoa wake wawili na kuolewa na wanaume wawili. Imekaaje hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…