Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

Na mimi nilie si single hapa ngoja nipate kujua maswala fulani fulani kabla sijaingia kwenye hii taasisi...siti ya mbele kabisa nachukua notice.
Huwezi jua yote mkuu😅 kesi yako itakuja mpya kabisa, na utakuja kutuomba ushauri. Ila Kuna kitabu kinaitwa Pandora's Box. Nakushauri ukisome, 😅
 
Sasa inakuwaje tena mwanaume kuchepuka ionekane sawa? Na wengine wanakwendaga mbali zaidi na kutolea hadi mifano ya watu ambao ni binadamu kama sisi?
Hii ni sawa sawa na mwanamke mwenyewe kutembea na wanaume wengi kuitwa Malaya... Upande wa pili kwa mwanaume kuwa na wanawake wengi inakuwa ni sifa na wala kijamii haijawahi kuonekana ni tatizo... Siyo sawa kabisa
 
Angalau wenye akili bado mpo.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aisee
 
Kusema kweli kuhusu ndoa acha nikae kimya tu. Tena usiombe sasa uwe umeoa mtu mnalingana umri na wote mna ka bachelor degree au zaidi, na wote mna ka kazi au mwanamke ana ka kazi ka uhakika.. Kwa kweli acha ninyamaze tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] so unawaunga mkono wanaooa darasa la saba
 
Wanaume mnavyojikutaga malaika sasa, muwavurugeeee wake zenu then wakireact mnajikuta victims. Haya endeleeni kujazana ujinga.
Wake tunanawavuruga kivipi tena jamani
 
Wewe dada hujawai kukutana na watu wenye misimamo wewe!!, tupo na sitegemei kuja kusumbuliwa na mwanamke abadani...
Wala haina haja ya kunionyesha misimamo yako humu mtandaoni sababu Ni ngumu Sana kuweza kuprove misimamo yako, nadhani utakuwa umenielewa
 
Huyo Mwanaume alikuwa hajielewi,ndio maana huyo Mwanamke/Mke wake alikuwa anamchezea. Mwanaume unatakiwa uwe kiongozi mwenye msimamo kwa mazuri mabaya. Yaani Mwanamke kazingua ukamwambia aende kwao huko akapata Mwanaume mwingine halafu uanze kuhangaika nae tena?
 
Nahisi huyo Mwanamke utakuwa ni wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii misimamo inapatikana nyuma ya keyboards tu in real life hamnaga jeuri hiyo
Apia kabisa!! Duh mnakutanaga na Wanaume suruali nyie ambao wanaongozwa kwa ujinga eti wa Moyo kupenda,ukikutana na Mwanaume anaejitambua then umletee mapichapicha mbona utakuwa hadithi kwenye ukoo wenu na mtaani.
 
Mwanaume akishajiweza kifedha kiburi ni asili yetu ni vile tu hujakutana na anayejiweza. Yaani tuna kiburi cha asili labda mfukoni kuwe empty. Ila na mipesa asilimia 95% humwambii kitu we NENDA tu kaolewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ndio Vijana wa siku hizi mnafeli,Mwanaume hata ukiwa huna pesa ya kutosha heshima ya ndoa lazima itawale,ukizingua unafunga virago.
 
Doh yaani unaishi na Mwanamke ndani kwa mashindano?aiseee mbona sipati hiyo chance jamani.
 
Vijana wa siku hizi ndio maana Wanawake wanawapanda kichwani,ukishaingia kwenye ndoa fedha haina nafasi ya kuamua hatima ya ustawi wa ndoa yenu bali ni upendo,nidhamu,kuheshimiana,utii na Mwanamke kuwa chini ya Mwanaume kimamlaka na maamuzi.
 
Baeleze...mwanaume na hela zake na anajitambua kamwe hawezi sumbuliwa na mbususu. Kikubwa kuwa nanhela tuu.
Hizo hela labda kama hujaoa ndio utatumia kuwagonga but ukishakuwa ndani ya ndoa fedha haina nafasi eti ya kuleta heshima,upendo na nidhamu bali ni akili na msimamo wa Mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…