Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

Labda hao Madume suruali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona mbwembwe zenu zimeishia hapa[emoji23][emoji23][emoji23]akili za uhalisia zimerudi!!!
Hao bado Vijana ndio hao wakishawaoa mnaanza kuwapelekesha mpaka kuwafulia,kuwanyima papuchi mwezi mzima mwishoe wanajiua.
 
Ndio nilikuwa nawaambia hao madogo hapo juu,fedha sio factor ya kuleta heshima na ustawi wa ndoa bali akili na msimamo wa Mwanaume.
 
Wewe dada hujawai kukutana na watu wenye misimamo wewe!!, tupo na sitegemei kuja kusumbuliwa na mwanamke abadani...
Swadakta kabisa,huyo anakutana na hivi visharobaro vya wakati huu ambavyo vinajipaka poda na kuchuna nyusi na vikigombana na mpenzi wake vinalia na kususa.
 
Wala haina haja ya kunionyesha misimamo yako humu mtandaoni sababu Ni ngumu Sana kuweza kuprove misimamo yako, nadhani utakuwa umenielewa
Sasa ukisema hivyo utakuwa umedhamiria,na pia sio kesi. Kwanini uishi na Mwanamke ambae unajua kabisa hakufai na yupo kinyume na matakwa yako?
 
Hao bado Vijana ndio hao wakishawaoa mnaanza kuwapelekesha mpaka kuwafulia,kuwanyima papuchi mwezi mzima mwishoe wanajiua.
We kijana mwanaume kama hutimizi majukumu yako usilazimishe kuheshimiwa mjomba namna gani vipi! Na hayo majukumu hauwezi kuyatimiza bila pesa!

We ukitaka chepuka fanya lolote unaloweza kwanza wanawake wenyewe siku hizi nao hawajali washavurugwa! Ila ukae ukijua tu kuwa wanawake hawatumii nguvu bali akili!

Kujitutumua huku mitandaoni haikusaidii! Tafuta pesa!
 
kubadilika is a natural proccess...demands are shifting from attending one person(husband) to a family (husband+children)....Marriage is NOT for sex only-if men understand this, it was going to make our lives easier...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona mbwembwe zenu zimeishia hapa[emoji23][emoji23][emoji23]akili za uhalisia zimerudi!!!
We are so smart enough hatuez kaa na lisumbufu ndani.... jitu kila siku ugomvi .. aisee utasikiamsafari kila aiku ubishane na watoto.. no time for stupid arguments kwanza kubishana na nyie ni kutokujiheshimu.. wenye akili ya ugomvi kila siku hiwaga wajinga hata kama lizuri
 
Sasa inakuwaje tena mwanaume kuchepuka ionekane sawa? Na wengine wanakwendaga mbali zaidi na kutolea hadi mifano ya watu ambao ni binadamu kama sisi?
Wanawake mnachepuka sana tena inaexa kuwazidi wanaume sema mnajua kuplay th victim part na jamii inawabeba hivyo.. unaongea as if hulijui hili sisi tunasema coz tupo honest mwanamke mmoja hatoshi ila nyie mnafanya kimya kimyaa
 
Kwanini uoe kama huna pesa ya kustawisha familia?
 
Wanawake mnachepuka sana tena inaexa kuwazidi wanaume sema mnajua kuplay th victim part na jamii inawabeba hivyo.. unaongea as if hulijui hili sisi tunasema coz tupo honest mwanamke mmoja hatoshi ila nyie mnafanya kimya kimyaa
Anko kuchepuka ni dhambi na kosa kwa jinsia zote haijalishi unafanya wazi au kimya kimya! Hayo masuala ya mwanamke mmoja kutokutosha mnayajua ninyi aliyewaumba hayajui!
 
Asantee umemaliza yote
 
Vijana wa siku hizi ndio maana Wanawake wanawapanda kichwani,ukishaingia kwenye ndoa fedha haina nafasi ya kuamua hatima ya ustawi wa ndoa yenu bali ni upendo,nidhamu,kuheshimiana,utii na Mwanamke kuwa chini ya Mwanaume kimamlaka na maamuzi.
Hii point nimeielewa 🙌🙌
 
Sasa ukisema hivyo utakuwa umedhamiria,na pia sio kesi. Kwanini uishi na Mwanamke ambae unajua kabisa hakufai na yupo kinyume na matakwa yako?
Ooh Frank umeniquote sehemu nyingi, ila wewe ndio mwenye msimamo wa kiume Sasa, kwa comment yako ya Kwanza kabisa sikuelewa akili yako ila kwa hizi comments nyingine Basi nimekupata vyema,

Ukishindwana na mke unaacha na haurudi nyuma mpo wachache wenye hii misimamo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…