Wanawake wenye makalio makubwa hawana heshima

Mm naona wasichana wakijiona wazuri kwenye kioo and wakisifiwa kidogo mabega yanapanda wanasahau kua nao ni wanadamu wanajisikia/dharau. ..kuna sehemu nilipanga inshu ikawakuanika nguo..cku ya kwanza tu nikazinguana nae kamba yanguo ameikuta...nikaona ushenzi nikawa naanika nguo ndani kwakua room ilikua self hakua anajua kua jua pia hupausha nguo.
 
Mtu anayejiona special sana wewe mchukulie wa kawaida tu, hatakusumbua. Hata hivyo wengi wa wanaoona kuwa wazuri sana wa sura na shape wana mapungufu mengi tu ya kimaadili. Ndio maana huwa tunaoa wanawake wenye shapes na sura za kawaida(wazuri wa asili). Tunapunguza matatizo mengi sana.
 
Huna haja ya kulipiza baya kwa baya. Just be nice to everyone, huyo dada mtakuja kuwa marafiki wenda yeye moyoni hana kinyongo kama chako. Ndo maana alikuuliza ulikuwa wapi wiki mzima? In short alikumiss.
Alimuuliza ili achukue juisi yake na nyama
 
Una jina la kindezi kumbe unaitwa Gerald
 
Unajianika. Hapo watu washajua jina lako
 
Hebu acha ujinga, yaani mtu awe na makalio halafu ahangaike kutafuta kuwa na heshima?
Makalio yanatosha vingine hakikisha wewe ndiyo unakua navyo.
Halafu hii story umetupiga, kwa hiyo ukala nyama na kunywa juisi yake halafu wala hakukuuliza?
Daah mkuu umeongea as if makalio ni kitu cha thamani zaid ya Oxygen.
Kwamba ukiwa nayo ni okay kuwa rude?
Huyo mdada ni very rude and ignorant.
Eti makalio yanatosha!Sasa kama makalio yanatosha mbona anateseka kwenye nyumba ya kupanga tena cheap ya maji kutoka 3 times a week tena ya kukaa wengi pamoja?
Hiyo mitako ingekua na thaman alitakiwa yeye ndo awe mama mjengo wa nyumba zaid ya moja,magari na investment.
Asipokua humble huo mtako wake utaishia kuwa kiburudisho cha wanaume wakware nothing else.

Mtoa mada nae ana roho mbaya.Unawezaje kutupa funguo ya jirani yako?

Jiran ndio ndugu zetu wa karibu,sijaona kosa mtoa mada kuomba apikiwe uji.
 
Umepiga maumali mule mule..yaan anahila na shonde sana na hajui kusamehe ni mtu hatari sana πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹
 
Viwanawake vya tanesco ni vipuuz sana kudadeki... Me ilikufa meter ya umeme nikaenda vikawa kama vinataka kunitengenezea kipindi, niliviwashia moto kudadeki mpaka noma yan haviji kunisahau, nilimpigia simu na bosi wao mafundi wakaja kubadilisha siku hiyo hiyo na bosi wao aliviwakia ile mbaya... Wakiniona wanaona wameona chafu tatu...
 
Kunywa maji kidogo Kiongozi..hawa Mashangazi wasikukwaze πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Mkuu, usiwe serious sanaπŸ˜„
 
Hukutakiwa kuandika mengi hivi maana ukweli ni kwamba wenye makalio makubwa hawana akili kabisa wengi wao
 
Nilitupa ufunguo nikala nyama na juice baada ya kuona hakuna ujirani Kati yetu nilipougua akagoma kunikorigea uji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…