mambo ya nyakati
Senior Member
- Aug 24, 2022
- 115
- 146
Dah hii imekaaje?
Kwamba Dunia yako imepitwa na wakati na si promote uzinzi nasisitiza umuhimu wa kuheshimu maamuzi, uhuru na haki za wanawake.Kwamba Dunia yako wewe ni ya kichuguu?
Inawezekana ila tambua adhabu endapo nitakufumania?
Inaonyesha unapenda uzinzi na kupromote uzinzi hivyo huoni shida watu kufanya ngono ila Ndoa unaipiga vita.
Uhuru una mipaka.....................................................................Kwamba Dunia yako imepitwa na wakati na si promote uzinzi nasisitiza umuhimu wa kuheshimu maamuzi, uhuru na haki za wanawake.
Hujui saikolojia ya watoto wewe,mtoto anapotambulishwa kua huyu ni ANKO wako,then baadae anakuja ghafla anaingia sebuleni,anakuta mmehamia chumbani,nadhani ataona kawaida?Wiki ijayo anatambulishwa ANKO mwingine,hujui mtoto ata-reason?Acha zako wewe, hao watoto wanajionea kawaida, kwani huyo mamake anakazana na hao wanaume mbele ya macho yake, si ni huko vyumbani, tatizo mmeklemu mitazamo mnadhani dunia nzima inatazama mambo sawa, kumbe dunia hii siku hizi kila mtu ana mitazamo yake
Hakuna mtoto wa kiume anaye furahia Hilo jambo tusidanganyane.Acha zako wewe, hao watoto wanajionea kawaida, kwani huyo mamake anakazana na hao wanaume mbele ya macho yake, si ni huko vyumbani, tatizo mmeklemu mitazamo mnadhani dunia nzima inatazama mambo sawa, kumbe dunia hii siku hizi kila mtu ana mitazamo yake
Ndoa siyo asili ni utaratibu umewekwa na binadamu. Narudia tena jaribu kufikiria hili suala kama mtu huru.Uhuru una mipaka.....................................................................
mpaka wa kwanza ni kufuata sheria za kimaumbile za asili zinavyofanya kazi.
Kwa nini? usipinge mapenzi kabla ya Ndoa.kila chaguo lina matokeo yake na hili unalo sapoti lina matokeo mabaya zaidi.
Dah hii Leo ni Kali ya mwaka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ndoa siyo asili ni utaratibu umewekwa na binadamu. Narudia tena jaribu kufikiria hili suala kama mtu huru.
And what is reality in this context/topic hii??Seeing things is one thing and reality ni another thing,,, una force your perception iwe reality kitu ambacho ni impossible,,
6 itaonekana 9 ukiwa upside down but haibadili the fact kwamba ile ni 6
Chukua time fala wewe.Huyu makirita mpuuzeni ana hasira kwa sababu nye- ge zimezidi
Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
Umefurahi mwenyeeeeeeewe eti??? mxieww[emoji23][emoji23] [emoji23]
Kuna mmoja nmeona hapo juu anasema yupo 39 aged na hajaolewa , nimwambie tu kwamba hapo alipo ni Mama Jeni bai bai
Atakwambia sex ni starehe. Hawa wanaofika hadi miaka 40 hawajitambui hawa huwa ni changamoto kweli kweli.
Unajua yale mafunzo ya unyagoni yalikuwa yanasaidia sana. Mabinti wanaambiwa purpose ya sex kuwa kwanza ni kwajiri ya kuleta mtoto so ukiwa unalala na mwanaume jua direct au indirect unatafuta mtoto.
Pili ni tendo la starehe sababu lina ambatana na raha ya mwili ila si starehe ya kujiachia pale kama haupo katika mkataba wa ndoa.
Sasa hii sampuli ya Anita Makirita wamepitwa na hilo somo la awali. Wao wanaingage kwenye sex kufurahisha mwili tu na wanahisi mahusiano ni entertainment kama kwenda club, au kuogelea, au kwenda fiesta.
Ndio sababu hawaoni shida kuacha mahusiano yakiwa katikati na kuruka na mtu mwingine kutafuta ile excitement ya kimahaba sijui kutoana out, kuleteana mauwa, kufanya sex mara saba kwa siku sababu mahaba yamekolea. Hii inawapa akili ya kutotulia na mtu m'moja na matokeo yake wakisikia ndoa wanaona kama wanaambiwa waache tabia zao za kurukaruka kama kicheche na kuwa na mahusiano mapya kila baada ya muda fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee cheka ukilegea legea nawe utajikuta 39 hiyo na huna mume🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio nataka kumla kimasikhara....sii unajua tena kimasikhara ni raha sanavipi na wewe unataka kumla kimasihara?
Kamle, bila kunishirikisha,,,,mxiewwwNdio nataka kumla kimasikhara....sii unajua tena kimasikhara ni raha sana