Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Kuna qoute yangu nilisema Mimi ni nani mpaka niamue mustakabari wa mtu mwingine.

Ila binadamu haishi porini ila kwenye jamii, ambayo imejiwekea hivyo vitu.

Ni kweli huwezi exactly kupin point mawazo ya mtu, ila speculation ni muhimu.

Kwani wewe upo single?

Una chanzo Cha uhakika wa kipato?

Elimu yako

Exposure

Jina lako, taja Ile herufi ya kwanza

Upo sehemu gani Tanzania, ningependa nikifahamu kitongoji au mtaa
 
Aisee i love the way u just ooze confidence. Ebu niambie sii huna mpango wa kuwa na watoto pia? Kama ndio basi naomba tuleane na kuzikana🤣🤣🤣🤣
 
Kama ni kweli unachokisema hapo, basi utakuwa hujafika hiyo 35yrs dada.
 

MNhhhh........ NOT everybody see things how you see...so how you see things can be irrelevant..your subjective shit experience and how you see it is NOT what kutokuolewa means for Anita.
 
Its impossible kuwa baharini na usilowe that is a scientific fact mpendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama umekubali huwezi kujua mawazo ya watu, case closed, huwezi kuwa certain watu wanaathirika kisaikolojia kama hawaolewi....sababu wapo ambao hawajaathirika. bye
 
Umenena vyema
Unajifariji baada ya kuona comment ya mtu mnaeshare common experience?

Acha kujifix, ndoa ni muhimu na hakuna mwanamke hii dunia anazaliwa asiwaze ndoa maana mema ya ndoa ni mengi kuliko mabaya yanayosemwa.

Kwahiyo unataka kuniambia wanawake wote waliopo ndoani wanapitia magumu na manyanyaso hivi sasa si ndio?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its impossible kuwa baharini na usilowe that is a scientific fact mpendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado anajikaza.

Mimi Kuna mmoja alikuwa anasema hivi hivi nafocus kwenye carrier yangu, maendeleo binafsi, sitishwi na Mwanaume, Tupo sawa sibabaishwi.

Sasa hivi anajuta na kusaga meno ndio kwanza ana 36 yrs.

Kanasema bora ungenioa tu, nikamwambia ukifika 40 nitafikiria.

Ndio ninavyomuona Anita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…