Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Haja zako za mwili unazitubuje?
Atakwambia sex ni starehe. Hawa wanaofika hadi miaka 40 hawajitambui hawa huwa ni changamoto kweli kweli.

Unajua yale mafunzo ya unyagoni yalikuwa yanasaidia sana. Mabinti wanaambiwa purpose ya sex kuwa kwanza ni kwajiri ya kuleta mtoto so ukiwa unalala na mwanaume jua direct au indirect unatafuta mtoto.

Pili ni tendo la starehe sababu lina ambatana na raha ya mwili ila si starehe ya kujiachia pale kama haupo katika mkataba wa ndoa.

Sasa hii sampuli ya Anita Makirita wamepitwa na hilo somo la awali. Wao wanaingage kwenye sex kufurahisha mwili tu na wanahisi mahusiano ni entertainment kama kwenda club, au kuogelea, au kwenda fiesta.

Ndio sababu hawaoni shida kuacha mahusiano yakiwa katikati na kuruka na mtu mwingine kutafuta ile excitement ya kimahaba sijui kutoana out, kuleteana mauwa, kufanya sex mara saba kwa siku sababu mahaba yamekolea. Hii inawapa akili ya kutotulia na mtu m'moja na matokeo yake wakisikia ndoa wanaona kama wanaambiwa waache tabia zao za kurukaruka kama kicheche na kuwa na mahusiano mapya kila baada ya muda fulani.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani we jamaa unapiga ngumi za shingo tu, sio fresh ivo[emoji3][emoji3][emoji3]
Tusipowaambia ukweli hawa watakuja kutuharibia mabinti zetu na wadogo zetu na watoto wote wa kike wanaokuwa miaka hii. Hawa lazima wajue kuwa mfumo wa maisha wa kuishi kama kenge kwenye jamii ya meafrika haukubaliki.

Na yoyote anaewatetea tutakula nae sinia moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii reply kaisoma huku kashika tama huko alipo huku anajiuliza God when
Ndoa tamu bwana asikwambie mtu. Hawa wanaoleta magazijuto kuhusu ndoa ni mawakala wa shetani wametumwa kuja kuichafua.

Ingekuwa ndoa ni tatizo na haina umuhimu watu wasingeichangia mamilioni ifungwe, watu wasingetumia nguvu ya damu na jasho kuitafuta.

Umesahau ile misa ya merehemu mama Lwakatale ya upepo wa kisulisuli. Palijaaa pale ndani na sampuli ni hizi hizi za miaka 35 kwenda juu.

Mtu analeta story za ndoa sijui vipigo, manyanyaso na kadhalika. Hivi kuna mwanaume ambaye mkewe ni mnyenyekevu, anamsaidia katika ujenzi wa maisha anakusapoti katika harakati zako na kuwa number fan wako, hana time na story za kuvumilia bali anasimama na wewe kwa ugwadu wa kukuona unatoboa sio kwa haraka za yeye kupata Maisha mazuri, mwanamke hakupandishii sauti hata umkere kwa lipi cha zaidi atakuonyesha sura ya kukwazwa na kukosa furaha na amani ili ujiongeze kuongea nae, mwanamke anashika maagizo ya MUNGU na anaiheshimu ndoa yake kuliko chochote, kuliko mashosti zake, kuliko vicoba, kuliko mambo mengine yasiyo na umuhimu. Mwanaume anaanzaje kumpiga au kuwa na manyanyaso na mwanamke wa hivi?

Wanajitisha sababu company zao ni mabinti wenzao ambao wanatoka familia zisizo na maadili ya ndoa, mabinti wasio na maadili, hawa ndio wakikaa kazi kujazana ujinga na upumbavu kuwa Ndoa ni jambo hatari ila kulalwa na wanaume hovyo, kutembea na wanaume za watu, kuapta watoto nje ya Ndoa, kuishi kikenge hiyo ni baraka kwa mwanamke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa ni kusukuma ndani...... Wacha wakasirike ila sisi ndio kizazi cha wanaume cha mwisho tutakaozungumza nao. Tunataka watoto wetu wa kiume kizazi kijacho wajue standards za wanawake wa kuanza nao maisha ili taifa letu liwe mfano wa kuigwa. Na mbegu ya ustawi wa jamii ya mwafrika.

Hawa wanawake wanaokuwa na maamuzi yao binafsi tokea umri wa 19 hadi 35 halafu wakishafika above 35+ wanaanza kuleta tuvisingizio twa 'Karume Kenge' na 'Elfu lela ulela' mara sihitahi ndoa mara sijui ni sawa kuishi bila ndoa , mara ndoa ni manyanyaso, WEWE God damnit, lini umeijua NDOA na umekaa maisha yako ya ujana unaruka na kila aliyependeza macho yako, uliacha maadili unakuja kujiweka kundi moja na wanawake ambao hawana mume sababu ya kufiwa, kusalitiwa na kutekekezwa, au kuwa na changamoto za kiakili.
Wewe kundi lako ni hawa manunga yembe wale ambao kwa makusudi walichagua kucheza na miili yao na proposal za ndoa kila uchao ziliwagongea hodi, wanaume walifunga break za magari kwenye vituo vya daladala kukuongelesha, walikulipia nauli kwenye daladala jambo ujibu salamu yao.

Ukachagua kuringa na kutojibu salamu sababu ya kiburi ila umri ulipokwenda kidogo ukaanza kuruka na kila aliyekuja mbele yako kwa kuchagua wenye pesa sababu ulikuwa na tamaa ya kufanikiwa kwa short cut maana hauna muda tena wa kujenga maisha na mwanaume sababu muda umeenda unaona usipoteze zaidi. Sasa tumefika umri wa mavuno ya tabia yako ya miaka 10 ya udangaji, umachepele, kutojilewa na maringo, tunakuuliza unasema tunakukosea adabu au unasemwa vibaya.

Hapana hakuna huruma. Watajibu hili swali, unaolewa lini?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hawajali. Kinachowachosha ni kelele za watu wanaowataka wajali kama wao. Wawe na mtazamo kama wao. Mmoja anafikiri kuolewa ni mafanikio. Anataka na wengine waone hivyo. Wengine huwa hata watoto hawataki, lakini wale wenye watoto watataka kuflaunt watoto wao. Ni stage ya ushamba tu tunapitia
Wewe hutaki watoto? Katika wanawake wote mliochangia huu uzi kuna hata mmoja hataki watoto?
 
Nafasi za uteuzi pia waangalie kigezo hiki, mtu asiye na ndoa analeta taswira si rafiki sana kwa jamii. Kiongozi anayefaa kuigwa, ni yule mwenye ndoa inayotambulika.
Mojawapo ya miiko ya teuzi na uongozi ukienda mataifa yote ni hiyo lazima public servant awe ni mume au mke wa ndoa na mtu mwingine.

Nje ya hapo huko maofisini ni kuleta uzinifu, kutengeneza safari na wake za watu au waume za watu na kuharibu ustawi wa jamii.

Hii inalegezwa sasa inaleta picha mbaya. Tazama watu kama akina Jokate wanabeba ujauzito wakiwa katika ofisi ya uma, na hajawahi kuolewa wala hatujui anatoka na nani.

Huyo ni public figure kuna mabinti kibao wanamtazamia kuwa ni mfano wa kuigwa. Watoto wa kike wanatabia ya kuiga mabaya zaiid kuliko mazuri maana mazuri ni kazi sana kuyasimamia tofauti na mabaya ambayo yana nguvu kali ya ushawishi.


Na ukienda bungeni pale eneo la viti maalumu tazama kumejawa na wadada ambao ni wamezaa na wanaume za watu na wengine kama wakina mdee hawajulikani wapo na nani hii ni mbaya ya sana kwa taswira ya taifa na sura ya uongozi wa kike na wa kiume.

Mbona kila mbunge wa kiume pale ukitafuta picha yake na mke wake utaiona sijaona kiongozi wa kiume ambaye hana familia yake ya ndoa ya mke na watoto. Wote wapo vema. Ila wanawake wamejaa pale kundi kubwa ni singles, single mothers.... Hili ni janga kubwa sana linahitaji vita kubwa kulitokomeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinyume na hivyo Mimi sioni tatizo kuhusu mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30 anayejitambua na bado hajaolewa.
Usidanganye watu kijana hakuna Mwanamke mwenye miaka hiyo ambaye anajitambua akawa bado hajaolewa au hajawahi kupata ndoa.
 
Hili nalo wakalitazame.
Mtume muhammad alimuoa bi hadija akiwa na miaka 40.
Msiwavunje moyo wadada wa watu umri ni namba tu.
Hakuwa na miaka 40 masimulizi sahihi yanasema alikuwa na miaka 28. Yaani alimzidi miaka 3 tu.

Waambieni ukweli wanawake, sababu hili ni jambo la kiasili, na asili haiepukiki kama haitakuathiri kimaana basi itakuathiri kimaada.

Kingine humu wanawake si wakweli yaani hawataki kukiri na kukubali ukweli, lakini wanashindwa kujua kuukataa kwao ukweli hakufanyi ukweli uwe uongo. Wanajiumiza wenyewe.
 
Kupanga ni kuchagua,
Wapo wengi sana wenye kila aina ya sifa ya kua mke ila aina ya mitazamo yao inapingana na mitazamo ya wanaokutana nao kwenye mahusiano.Ninayo pc moja kali sana ina bachelor of education from UDSM kichwan ni mwalimu shule fulani ya upili mkoa Kilimanjaro.
Aisee acha kabisa lilipokuja suala la kutaka kumuoa ha ha ha ha ha alinipa masharti ambayo hakuna mwanaume anaweza kubali.
Hivyo sio kila ambae hajaolewa kwamba hakuna waoaji hapana, wengi wao wana vipaumbele vyao.
Mfano yeye alisema kwanza
1;anapenda sana adventure (yani kila mwezi lazima atoke out nje ya mkoa)
2;sio lazima akuage kila anapotoka kwenda kwenye mambo yake(kumbuka tayari umeshaoa)
3;usimuulize kuhusu mshahara wake.
4;anaweza akachukua lodge akaspend hata siku tatu au wiki nzima bila wewe, anasema ndivyo alivyo huwa anafanya sana eti anajifungia peke yake ndani anaangalia tu movies za holiwood.
5;anataka kujua mshahara wako umeshaingia au laa(hii nimeiona mapema sana ndio muuni nikakacha maana ilikua kila zikifika tareh za mshahara anajifanya nataka unipeleke sehemu kumbe unaenda kupigwa mtonyo)
 
Mara nyingi sana wanaume wanakua sirias kutafuta mke wa kuoa ila wanakutana nawapigaji wanakula za kichwa.
Fanya research utagundua wanawake wengi wanaolewa na watu ambao hawakutarajia kuolewa nao, walikua na images zao kichwani na kwenye akili zao kwamba wataolewa na watu wa namna fulani alafu inakuja kua sivyo.

NJE YA MADA ILA INAHUSIKA PIA KWA KUUNGANISHA MTAZAMO WA DADA ZETU
Tunafahamu kwamba haya (ya kuoa au kuolewa na mtu wa aina fulani )yanawezekana kwenye royal famili tu au mid level aconomy famili hii ni kwasababu famili ipo tayari hata kuua pale tu wakiona kuna aina fulani ya differnt class in economy partiners anajaribu kujenga mahusiano na mtoto wao, au wakat mwingine wanaweza wakaamua kuitengeneza familia hiyo iwe na status sawa kwa ajili ya mtoto wao.but for special interests

Ni nadra sana mtoto aliyesoma I.S.M, ST CONSTTINE, TANGANYIKA INTERNATIONAL SCHOOL nk ambae kesho kutwa unakuja kusikia ni mpelelezi, sijui mmiliki wa kiwanda fulani aje kuoa uswahilini nadra mnoo ingawa inatokea.
 
Sasa tunafix vipi kitu ambacho hata kikiwafixed soko lake halipo tena, its a wastage of time and effort.

Hebu imagine kutengeneza deki ya mkanda ili iende dukani kuuzwa.

Nani anatumia mikanda miaka hii?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wanao jiona wasomi au kujiita wasomi ni wajinga mno. Sasa huyo unaye jadiliana naye hajaona kama analo tatizo.

Kuna umri ukifika sokl unakuwa huna zaidi ya kutumika tu.
 
Back
Top Bottom