Kijana namba yake ndio ile ile?๐คฃNiache ๐๐๐
Zinaweza kumuua figo ndani ya sekunde akapata janga baya zaidi kuliko hili. Inapaswa kuzitumia kwa ushauri wa daktari tena daktari bingwa. Bush doctors ni hatari kwa afya yake.Dawa mbaya sana hizi ukizitumia ovyo.
Usiogope.Mbona unanitisha mkuu๐
Eeeeh ๐คฃaweke tafsida kwenye bandiko juu kule, mie hali tete
ila mi pia nakazia ile namba #1
Nimetumia ibrufen, nimetumia diclopar MR, erythromycin pia
Yani lidaktari natoa ushauri wewe unaukataa?Prednisolone hazihusiani na unachopitia
Hiyo buku nitumie mie niunge bando
hapana kwa kweli, andiko tu linanitoshaunataka kuona alivyoorodhesha
Nenda hospitali niliambiwa hivo ni dawa napona lakini nikienda tu tayari๐๐Hapa naona bora kwenda hospital tu my friend maana ๐คฆโโ๏ธ๐คฆโโ๏ธ
pole sanaNi tumbo la period kipenzi
Yani lidaktari natoa ushauri wewe unaukataa?
Andiko tu Ume fill up 300ml bottle tayari kwa michezo yako๐คฃhapana kwa kweli, andiko tu linanitosha