Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

Status
Not open for further replies.
Are you in P babe?
 
Acha kulalamika wewe hiyo ni hali ya kawaida kabisa. The more unaiona hali ya ajabu na ndivyo itazidi kukufanya ujione mgonjwa.

Miaka ya nyuma bibi na mama zetu hata tulikuwa hatujui kuwa wanapitia hali hizi ila walijikaza na kuyapotezea hadi miili yao ika adopt na ikawa ni kitu cha kawaida sana kwao kiasi kwamba ukilalamika wanawake wenzako wanakushangaa na wanaweza kukucheka.

Ila mabinti wa miaka hii changamoto kweli eneo hilo, mnadeka utadhani hizo hali ni za kubambikiwa au mlipewa kama adhabu kumbe ni maumbile tu. Jifunzeni kukubaliana na asili yenu utaona hata mwili una anza kuadopt na hautakuwa unakuwa sensitive na hiyo hali.

Najua mtamind ila huo ndio ukweli.
 
Mbona unanitisha mkuu😓
Usipende kusikiliza watu wa mitaani tumia dawa flani, tumia kile.
Wauzaji wa duka za dawa za mitaani wanatoa dawa ovyo bila prescription.
Bila kujua historia ya magonjwa, wanatoa dozi kubwa sana.
Hiki ni chanzo kikubwa cha matatizo ya figo na moyo.

Zinafuatia dawa za kienyeji. Hizi zinaua sana figo za watu.

Ukipata bahati kukutana na daktari bingwa wa matatizo ya figo au moyo muulize kuhusu hili utanikumbuka.
 
I really pitty for them
 
Upo kwenye joto tafuta mtu akupande.
 
Polee dear
Tumia dawa ya (Complete phyto-energizer) supplements

Au kila unapo maliza P tumia karafuu, chemsha kunywa for 7 days asubuhi kabla haujala chochote

Kuna watu wamefanya hivyo wakapona wengine haikuwasaidia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…