Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Mimi kama mimi sihitaji ndoa nishajishukuru kwa maisha yangu.
Hawa wanawake wenzio hawaja kuelewa.

Wewe unataka kuuliza kama kumvulia chupi kijana mdogo wa 28y ni sawa?. Lakini naona wao wana ongelea mambo ya ndoa sijui nini.

Acha nikupe ukweli huyo kijana ata kukula na uta fall in love nae, tatizo atasimama na makubaliano yenu ya kukulana tu no strings attached.

Nakuja kwenye suali lako Jee kumvulia chupi kijana mdogo ni sawa?.
Hivi wewe ulipokuwa unavua chupi kwa wanaume walio kuzidi umri uliona sawa?.
Jee wao wanaume waliona sawa kuvua boxer zao kwako nao wakubwa zako?.
 
Kula kichwa hichoooo......Ila mi kwa upande wangu siwezi kesho na keshokutwa mtashea na wanao,vjana ni wa hovyo saaana
 
Madem bana. Kakusaidia kimaisha, kakununulia na vifaa vya saloon ya kisasa, na hapo unapiga mahesabu atakufungulia biashara mpya, wewe unamlipa nini? Wakati ankufanyia hayo hukuju kama ni kijana mdogo? Ikila kwa kungwi ile na kwa mwali, mpe mzigo kijana afaidi jasho lake. Mkisikia mtu katwangwa risasi muwe mnauliza sababu.

Mimi ni Me
 
Wajomba hawajaweza kushawishi moyo wa mmama wa watu, mwache mama afurahie maisha kdg walau, moyo wake utaingia vumbi bure! Gari bovu huvutwa na gari zima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu hajashawishika na kijana alivyo. Ni zile huduma alzopewa na ahadi y biashara mpya. Wajomba hawana pesa, huoni kuna mahala kaandika "kijana ana kazi, gari na mishe zake" maana yake anatoa taarifa kuwa huduma inapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…