Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Huyo mumeo alifariki na nini Ugonjwa au ajali? tuanzie hapo kwanza
 
Siku zimekuwa nyingi mno tokea msiba wa mmeo kama haujasuguliwa na mme mwingine kubali tu uende akakusugue walau mwili urudi vizuri.Hata hivyo umeshakula vitu vyake vingi utaponyokaje?
 
Sasa kipenzi na misaada yake basi asipokee naona hana pa kukwepea na hapo anakwambia mambo ya biashara mpya ameambiwa atasaidiwa tena

Na kingine ukisoma vizuri mwanamke mwenzetu ni kwamba na ye ameshampenda jamaa sema anaona aibu ya umri tu
Ajikatae ampotezee,, tatizo katanguliza njaa kivulana cha nini wakati wanaume wapo!! Mi ni heri niolewe mke wa tatu ila sio kulala na kivulana aisee tuko tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…