Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Wacha wee bibi 😂😂
Basi tunaacha ulevi ili tuwe na sauti nyororo
Pateni usingizi wa kutosha, mle mboga na matunda kwa wingi.

Asubuhi kabla hujala kitu unaanza na matunda laini laini, kama avocado, mapapai, matango kidogo, vipande vya nazi, fresh orange juice. Fanya hiyo ndiyo chakula yako ya kufunguwa kinywa.

Pombe siyo ustaarabu ni ushenzi.
 
Haujasikia sauti yangu wewe[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Sawa bibi tumesikia, tutayafanyia kazi 😜
 
Mkuu ukizaliwa na sauti nzito ukitumia ushauri wako sauti inaweza kuwa nzuri.
 
Kizazi cha snapchat na photo lab huwa kinajua kulegeza sauti wakati wa kuomba hela tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…