Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Hama nchi, maana hapa sasa mpaka wake zetu wenye sauti nzuri nao umewaweka. Acha hizo
 
Mtihani huu nmefeli...sauti yangu kama najma wa dadaz
Najma wa dadaz, hata simjui..ngoja nitaangalia hicho kipindi cha dadaz nimsikilize, huenda kwangu ikawa sauti bora kuliko zote🤣🤣🤣
 
Mipombe nyinyi, mishisha nyinyi, mirungi nyinyi, mibangi nyinyi. Hizo sauti nzuri zibakie wapi?
Na hii ndo shida kubwa. Mtu akishajiweza vizuri kidogo anahamia kwenye mamitungi, mashisha na nyama choma ndo inakuwa staili mpya ya maisha.

Baadae unakuta mtoto mdogo tu ana kifua kipana kama mandonga ameshashuka kitambi yuko kama kiroba hauwezi kujua kichwa na shingo, mgongo na taco vinakomea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…