Wanawake wote ndivyo mlivyo hata mkikataa. Wanaume kuweni makini katika maamuzi yenu

Haya
 
Something which makes the topic on the table null and void
 
Ahsante Sana Mkuu kwa ushauri wako mzuri hakika utakuwa umesomwa na kueleweka kwa vijana wengi Sana ambao hawajaoa Wala kuzalisha mtoto.
 
πŸ‘Š πŸ‘Š πŸ‘Š
 
Duh nilikuwa baba kaniita eti niende nikaishi kwake naanamke mwingine NIMEGHAIRI
 
Unaweza kulea mtoto wa mke wako,aliezaa na mwanaume mwingine?.
 
Weee hivi unajua masimango ya kuwa mama wa kambo?

hata km ur loving to the child lazma watamchimba tu mtoto kwa minajili they dont trust you

nishajiapiza wayy before i met my step daughter sitomchapa sitomfokea sitofanya loloote la kinidhamu namuachia babake na mamake wapambane..km ni kusema nasema machache nmemaliza
Lawama siwezi kabisaa..
Sanasana labda nimpe goodtimes tuu
 
Naweza kwa mwanaume huo uwezekano upo tena mkubwa tu lakni kwenu ninyi maskitiko tena makubwa
Ni kwa sababu hamkai na watoto

mngekaa nao msingeweza abadani nakuapia
mana wanaume wengi majumbani wanaishi kama wageni yupo asbh na jioni ama asbh na kurudi usiku wa manane

Shida nyumbani upate picha kamili
 
acha nimlete kale ka cha utundu wangu huko kale good time
 
Kuna mambo huonekana simple lakini ni complicated sana kama haya. Mtoa mada umeongea point I ever dated a guy aliyelelewa na mama wa kambo niseme tu kama ukirefer sociopaths I will point him first!Yale malezi yamemuaribu sana sana kutokana na mateso aliyopata alidevelop roho na attitudes mbaya. Tuombe Mungu atusaidie jmn haya mambo yanaimpact sana
 
Ngoja waje kuthibitisha Kama uliyoyaandika yana ukweli..
 
Chukua mwanao peleka boarding


Kwako atarudi likizo

Maana yake hata mama wa kambo akimuonya mtasema anamtesa mtoto bure...halafu kama mama yake kamtelekeza kijijini itakuwa mkeo???
 
Ila nahisi tu uangalie tu tabia ya mwanamke maana kuna wengine wanaishi na hawa watoto vizuri tu kama wao.Inabidi umchunguze kama ataweza unaweza kaa nae kama ni aina ile ya wanawake usijaribu hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…