The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Dah GT hata wewe una muda wa kununua TV na kuangalia. Now am absolutely convinced as a nation we are doomed!CONTROLA!!
Naunga mkono hoja!!! TV Original za Samsung ni mzito bhana... asikuambie mtu! Nilinunua 55" miezi michache tu iliyopita na ni 2019 Version! Uzito wake haupungui 20kg!! So, there's no way 32" inaweza kuwa chini ya 10kg!!
natoka hapa, mimi sio Ngosha mzee, bali ni Mhaya tena wa Kanyigo!
Dah GT hata wewe una muda wa kununua TV na kuangalia. Now am absolutely convinced as a nation we are doomed!
Kwamba wakiangushwa hawaamki au?sijaelewa una maana ipi😅Vp kwa mademu vimbau mbau na wale miss Bantu?
Kama ule wamengi na bakhresa nani ni Tajiri zaidi ya mwengine. Nakumbuka miaka ya nyuma kijiweni mkono ulitembea kwa ajili ya huu ubishi.Usisahau wabongo tunapenda ubishi wavitu vya ajabu ajabu!kumbuka hilo
Kama hule wamengi na bakhresa nani ni Tajiri zaidi ya mwengine. Nakumbuka miaka ya nyuma kijiweni mkono ulitembea kwa ajili ya huu ubishi.
Wabogo bana
Kufanya kazi kwa weledi, kujituma na kuzingatia miiko (ethics) ndio itatukomboa
Na kuna TV inakuja ni mwanga tu wa tochi...natumia HISENSE inch 32 nyembamba kama simu ila huibebi kwa mkono mmoja asee
Una akili za kitumwa ww...Huo mda wa kununua tv nakuangalia mnautoa wapi? Kama taifa tunaenda wapi jamani wa Tanzania wenzangu?
Fanyeni kazi
Una akili za kitumwa ww...
kila siku kazi kazi !!?kazi mabuttock yako
Hahahaha, mkuu acha kuendelea kutoa sababu zinazokufanya udhani ni feki. Yaani aidondoshe isipowaka ni feki?
hule ndio nini kiongozi?Kama hule wamengi na bakhresa nani ni Tajiri zaidi ya mwengine. Nakumbuka miaka ya nyuma kijiweni mkono ulitembea kwa ajili ya huu ubishi.
Wabogo bana
Kufanya kazi kwa weledi, kujituma na kuzingatia miiko (ethics) ndio itatukomboa
Wewe jombaa ni kiazi sana.
Kwa hio siku hizi vitu original vinapimwa kwa uzito?
Waweke mawe?
Wagunduzi wanatafiti nanmna ya kupunguza hardware. Nafikiri huko tunapoelekea itakuwa ni kadude tu Unanunua kama tablet unabonyeza batan inakuletea screen isiyoshikika unaadjust upendavyo kwa batan.labda test zangu hazipo ki taalamu
il siwezi nunua tv nyepesi kama Bua
Man, nani alikuambia kwamba TV ni kwa ajili ya vilaza?!!Dah GT hata wewe una muda wa kununua TV na kuangalia. Now am absolutely convinced as a nation we are doomed!