Wanunuaji TV kuweni makini huko madukani, Mchina sio mtu mzuri kabisa

TV zote sasa ni nyepesi hata iwe 55 inches.
 
Wewe jombaa ni kiazi sana.
Kwa hio siku hizi vitu original vinapimwa kwa uzito?
Waweke mawe?
Yeye hajui kama teknolojia zinabadilika kila siku, TV za kisasa zinsitwa smart TV unenewake kama kidore,mtoto mdogo ana beba mkononi umbari wa kilomita 5 bila kuiweka chini wala kubadili mkono kwa kuchoka
 
Vizuri sana next summer nafikria kuja huko. Nikupe channel uache kubeba box.
 
Tv makin unaagiza botswana au south bongo ni tabu tupu mchina amejaa kila mtaa
 
kuna mingedere haiwezi kuelewa
TV latest zilizopo madukani sasa hivi, Ulaya screen inchi 32, nyingi zina uzito wa kuanzia kilo 4 kwenda juu. Hiyo ilikuwa haifiki kilo nne? Jambo muhimu ni kuwa ukitaka kununua TV maduka ya Bongo inatakiwa uwe mwangalifu sana. Kuna bidhaa feki nyingi za mchina na mbaya zaidi ni kuwa wanabandika lebo za brand kubwa kama LG nk.
 
Ni kukosa maarifa tu.

Kwanini asiende kwa agent wa samsung anunue tv?

Anapata warranty ya uhakika na matengenezo ya uhakika ikiharibika.

Cheap is expensive.
 
CONTROLA sijakuelewa ujumbe wako ni nini hasa?

Au ulitaka kuwaambia mafundi wa kufunga TV "wawe wanalipwa chao" kama wewe "ulivyolipwa chako" baada ya kumaliza kufunga.

Alikubong'olea au ulimbong'olea?

Wewe ni fundi "me" au "me"?

Ulipombeba huyo dada/kaka akawa mwepesi,unatufundisha " me" au "ke" tusiwe tuna kula au kuliwa na mapipa/mibuyu kwani ni mizembe na wavivu au?

Funguka Mkuu!!

Nimewaza kwa mapana sana,umeongea kwa lugha ya picha/sana sana!!

Hahahahaha!!!
 
 
Acha. uongo mimi ni mfanyabiashara nanunua Tv kariakoo tena kwa bei ya jumla. Lg na Samsung hazipungui laki 4. Tena hiyo ni bei ya jumla . sembuse huyo dada yako aliyenunua rejareja. Mtu muongo simpendi.
 
Hakuna tatizo kifaa kua na uzito mkubwa au mdogo... Technolojia inakua...



Cc: mahondaw
 
Sijakuelewa kabisa
 
Wakuu nauza Tv
kuna mizani kbsa ya kupima uzito
Unapata kuanzia ya kilogram 3..

Maduka yetu yapo karume na buza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…