Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

CC:
Lucas Mwashambwa
 
CC:
Lucas Mwashambwa
 
Shida ya Wanyiha wao wanaona wizi ni kama ajira zingine tu wanahama kutafuta maeneo ya kuiba hasa wanapokuwepo wegeni ila wenyewe kwa wenyewe ni nadra sana kuna siku pale Vwawa waliingia nyumba ya mjamzito mmoja walimuibia na kumuua kule upande wa reli karibu na kituo cha treni mimi niliumia sana maana nikifika hadi kwenye ile nyumba ila wenyeji wengine wao wanachukulia poa tu..
Wanyiha waliwahi kuchoma Coaster mpyaa iligonga mwanafunzi ila kijiji kizima kilichangishwa na walikula fimbo balaa toka hapo ile mitaa wanaheshimu magari na Coaster zilikua hazisimami yale maeneo kupakia abiria mpaka wakipolipa deni ndio ikawa suruhu yao hao jamaa sio watu nimeishi Mbeya nawajua vizuri mno hao wasizwa..
 
Wadudu watu
 
Wanyiha ni mashetani
 
Kwa wachawi walioshindikana tz nzima huko ni zaidi ya wanyiha tabia zao. Wanakula mpk binadamu wenzao
Wanyama nyafu hawapo kiwila wapo mbele ya Chuo cha Magereza na pia nadhani ilikua zamani sasa hivi hawana nguvu sana niliwahi fanya kazi ya kununua kahawa na Dorman huko unapata story zao tu za kitambo sio sasa wale walikua wana uwezo wa kusimamisha Mvua isinyeshe kwenye shamba lako kama haujachanga mchango wowote kijijini...
 
Hata wanyiha wachunaji ngozi walikuwa zamani sio sasa!! Ila hao wanyama nyafu mpk leo wanaendeleza uchawi wao ndio wanaozuia mvua zisinyeshe
 
Kule wanaita "Kunyika" halafu kuna "Ikuti" hao Manyamanyafu ni wale Wandali wachawi sugu waliotoka Undali-Ileje wakahamia Unyakyusani so wanakuwa termed kama Wanyakyusa sababu ya generation zao kuhamia Unyakyusani.
 
kipindi nipo advance shule moja mbeya mjini 88, kuna jamaa nilikutana nae tulikua class 1 sasa akawa ananishawishi sana tuende Mbozi kutalii kuangalia Kimondo ila nilishindwa kumbe ndo kuna watu makatili kiasi ichi

Ila kati ya mikoa niliyoishi naona mbeya ni mkoa HATARI Sana for mine experience b'se kipindi tupo shule ilikua haipiti week lazima mtu auwae kwa mtaa wa mazingira ya shule pale b'se tulikua na teacher wetu wa phy alikua anakuja kutufundisha saa 11 alfajiri Kwaiyo akawa anatusimulia hayo matukio ili kutujaza upepo tupige kitabu b'se yeye amenajitoa muhanga kutoka kwake hadi shule wakati ambao ni HATARI kwake lakini anafanya hivyo kwaajili yetu
 
Hata wanyiha wachunaji ngozi walikuwa zamani sio sasa!! Ila hao wanyama nyafu mpk leo wanaendeleza uchawi wao ndio wanaozuia mvua zisinyeshe
Wanyiha roho zao mbaya ni zile zile toka tupo mbeya tumesafiri tunarudi bado wapo hivyo hivyo pana sister mmoja tulimuonyesha duka moja la vitu SA wanalouza bei ndogo baadae akachukua namba ya mwenye duka baadhi ya bidhaa anamwambia yule owner asituuzie sasa wazungu hawana hizo mambo wanashangaa na kukuambia yule ndugu yako anasema hivi jamaa angu akasema Mnyiha huyo ndio walivyo hao tumemleta SA harafu yeye ndio anataka tena tusipate bidhaa wakati watu kibao tumewapeleka lakini hawajai kusema hivyo popote..
 
Duuh advance 88 nipo darasa la Tano Sinde hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…