Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

Unawaza unafiki wa waarabu wanao pia wayahudi. Wameshasema mpaka malengo yao yatimie.
Hayo majadiliano wamefanya na marekani siyo na israel
 
Tumia akili mazungumzo kafanya marekani siyo Israel. Na ndiyo maana Israel wamesema Vita itaendelea
 
Siyo zoezi la kichapo. Zoezi la mauwaji ya watoto na wanawake.

Kama waliamini wapiganaji/wanamgambo wa Hamas wapo chini ya hizo hospital na imegundulika siyo kweli, huoni kuwa ni genocidal campaign?
Mashimo ya nini hospital. Hakuna genocidal campaign. Sababu hata hamas waliua watoto wanawake pia. Au maroketi yalichagua wanajeshi?
 
Sasa ulifikiri mimi nakiongelea nini?

Naongelea huo ushindi wa kusitisha mapigano.
Punguza ushabiki basi..

Hao Hamas wamebembeleza sana kupitia Qatar na Misri ili kupata huo mwanya wa kupumua, halafu wewe unasema wameshinda!
 
Hizo bange mnazovuta ndio maana IDF inatwanga hata Wanawake. Acha bange
 
Wanaume wakifa wanapewa bikra 72 ila wewe bibi ukifa unapata nini waume 72 wenye miguvu au mbwa 72 wakushughulikie?
 
Mashimo ya nini hospital. Hakuna genocidal campaign. Sababu hata hamas waliua watoto wanawake pia. Au maroketi yalichagua wanajeshi?
Hakuna hospital kule ambayo hakuna mashimo. Na mengi yalikuwa ya Israel.

Sijui unazungumzia vita ipi? Lakini Hamas wamewateka. Niwekee picha au video za hao watoto waliouwawa October 7.

Au unazungumzia watoto wa vita zilizopita?
 
Ww Ajuza sidhani kama una akili timamu, vyanzo vyako vya habari ni kutoka kwenye Uislamu sasa unategemea wataongea chcht kupinga Waislamu wenzao.?
Ww n mwanamke mpumbavu kama Wapumbavu wemgine
Waislam siyo kama wewe, hawasemi uongo.
 
Tumia akili mazungumzo kafanya marekani siyo Israel. Na ndiyo maana Israel wamesema Vita itaendelea
Kwani hujui kwamba marekani ndio ana act on behalf of israel na hujui kama gharama za vita zote anagharamia marekani? Basic things kama hizi pia huzijui
 
1.5 million displaced,
No working hospital,
No food, no fuel, no water, no electricity.
Still won the war?
 
Hivi mpaka sasa wajomba zako Wapalestina wamekufa wangapi ukilinganisha na wababe zao Wayahudi? Hivi umeona jinsi Palestina ilivyoteketea lakini, unafuatilia hizi habari kwa ukaribu kweli? Kwa taarifa yako basi, hii vita imesitishwa tu kwa siku kadhaa ili kubadilishana mateka na baada ya hapo Israel wataendelea kuwabamiza Wapalestina kama kawa. Fuatilia taarifa ya habari vizuri mke wa Hamas, unapotoka kikongwe wewe.
 
Hamas wapo consistency wanajuwa nin wanafanya wakishamaliza mateka wanajua watamshika wapi Israel
 
Sijui kwa nn msomi kama wewe "kuna wakati unaandika and I know ni msomi na mwelewa sana" Unaweza kukubali kujidanganya kwa kiwango hicho.
Muddy(56) mme wa bi. Asha(6) amempofusha macho huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…