Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.
Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi:
-
Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi
Siku za mwanzoni mwanzoniwa haya mapigano niliandika hivi:
-
Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza
Sasa tujadili ni nini kilichopekea mazayuni kushindwa mapigano na kusimamisha vita?
Hamas wanasema silaha zao za tabata ya ghaza ndizo zilizopelkea kuwainamisha mazayuni mpaka wasalimu amri. Jionee:
View attachment 2821803
Leo masaa kadhaa baada ya mazayuni kukubali kusimamisha vita na Wapalestina kutoka mafichoni Ghaza na kuanza kusherehekea ushindi, Netanyahu kageuka tena na kusema hajasitisha mapigano.
Haijulikani ni yeye mwenyewe kabadili maamuzi au mabwana zake wa Marekani wamemuamuru abadili maamuzi.
Vijana wa Kipalestina kusikia hivyo, wakalianzisha tena.
Video clips zinafatia.
Lakini