Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

bila shaka we una frustration na una una uraibu wa udini
 

mnawakosea sana palestina kwa kuwadhihaki namna hii.. naamini ukiongea na mpalestina aliekuwa gaza sasa hz ambaye kapoteza familia , makazi haijui kesho yake... yaan amerudi zero anaishi kwa misaada kisha wewe ukamwambia hii truce maana yake mmeshinda vita naamini anaweza akakuzaba kibao...
vita hainaga mshindi... hata sasa hv israel wakisema ok tunatoka gaza tunawaacha palestina.. haimsadii mpalestina maisha yake yalioharibika ambapo atahitaji walau 10 years au zaid kurecover

mi naombeni badala ya kuleta ushabiki tuwe tunachochea kwa vita kuisha so ikitokea truce kama hz tuwe tunapongeza hizo pande mbili for coming to their senses na kuomba truce iendeleee hizi habari ya palestina ameshashinda vita na kejeli zinaendelea kuchochea

ila kama ndio kwa misingi ya kidini kw alengo la kuwa shaheed basi sawa.. ila mie naangalia humanity kwanza... feture ya wapalestina ipo wapi..

binafsi nafikiri Palestina wanapaswa kuja na plan B maana plan A ya kutumia nguvu haijazaa matunda kwa miaka zaidi ya 40.... wangeamua kufanya kama jordan ambapo kimsingi pia wale ni palestians... kutumia diplomasia ya kiushawishi ili pale mataifa yote yakae yaani palestina, israel na jordan

kwasabbau najiuliza mbona israel hamuoni kama ho==jordan ni threat.. angaila palestina ya wet bank ya Abbas.. naona ameanza kugundua kuwa the only way to secure a bright future kwa palestina ni kutafuta middle ground.. sababu kama maswahiba wake walau wenye kuweza kuwa na ushawishi wameshindwa kuwasaidia kwa miaka 40 basi waangalie kutumia msemo wa "Neccessary Evil"
 
Hakunaga mshindi kwenye vita zaidi ya wasiokua na hatia wanaumia na kufa, hata sijui unachoshangilia ni nini.
 
Hii RPG ya Yassin 105 ni moja ya silaha bora zitakazoingia kwenye Guiness book.zina uwezo wa ajabu wa kuripua vifaru vya kisasa kama vile merkava na Abrams 1&2
Tanzania itapendeza kama tutaanza kuziagiza kutoka Gaza.
 
Hii RPG ya Yassin 105 ni moja ya silaha bora zitakazoingia kwenye Guiness book.zina uwezo wa ajabu wa kuripua vifaru vya kisasa kama vile merkava na Abrams 1&2
Tanzania itapendeza kama tutaanza kuziagiza kutoka Gaza.

Nimeiona inavyolopua vifaru, Allahu akbar
 
1.5 million displaced,
No working hospital,
No food, no fuel, no water, no electricity.
Still won the war?
Lakini lakini Isarel wana jeshi imara na intelijensia.

Miezi miwili wameshindwa kuwasambaritisha mgambo kwenye kieneo kidogo cha Gaza achilia mbali kujua walipo na kuwaokoa. Hapo akiwa anasaidiwa na washirika wake.

Au ushindi kwa Israel ni kuharibu majengo na kuua raia? Mnafurahisha sana
 
Nini kimepelekea Hamas kupata ushindi huu?

Wayemeni walipoiteka meli ndiyo wamepelekea mazungumzo kwenda na kumalizwa haraka?
 
Nini kimepelekea Hamas kupata ushindi huu?

Wayemeni walipoiteka meli ndiyo wamepelekea mazungumzo kwenda na kumalizwa haraka?
Lkn dada Ile meli sio ya Israel. Ile Ni meli ya wajapani NYK
NIPPON YUSEN KAISHA
 
MK254

Njoo msikie mkenya mwenzako anasema nini:

Your browser is not able to display this video.
 
Kwani imeanza leo hii vita?

Hiyo vita ipo kwa miaka 75 sasa.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Mzingiro (siege) umeisha! πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Mzingiro (siege) umeisha! πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Watu wapo kambi ya mateso kwa miaka 75, utawazingira nini zaidi waone ajabu?

Mwaka huu wameamuwa, liwalo na liwe.
 
Kwani lengo la kuanzisha vita ilikuwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…