Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Bakwata bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bakwata bhana
bila shaka we una frustration na una una uraibu wa udiniMazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.
Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi:
- Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi
Siku za mwanzoni mwanzoniwa haya mapigano niliandika hivi:
- Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza
Sasa tujadili ni nini kilichopekea mazayuni kushindwa mapigano na kusimamisha vita?
Hamas wanasema silaha zao za tabata ya ghaza ndizo zilizopelkea kuwainamisha mazayuni mpaka wasalimu amri. Jionee:
View attachment 2821803
Leo masaa kadhaa baada ya mazayuni kukubali kusimamisha vita na Wapalestina kutoka mafichoni Ghaza na kuanza kusherehekea ushindi, Netanyahu kageuka tena na kusema hajasitisha mapigano.
Haijulikani ni yeye mwenyewe kabadili maamuzi au mabwana zake wa Marekani wamemuamuru abadili maamuzi.
Vijana wa Kipalestina kusikia hivyo, wakalianzisha tena.
Video clips zinafatia.
Lakini
Muddy(56) mme wa bi. Asha(6) amempofusha macho huyo.View attachment 2822158
Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.
Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi:
- Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi
Siku za mwanzoni mwanzoniwa haya mapigano niliandika hivi:
- Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza
Sasa tujadili ni nini kilichopekea mazayuni kushindwa mapigano na kusimamisha vita?
Hamas wanasema silaha zao za tabata ya ghaza ndizo zilizopelkea kuwainamisha mazayuni mpaka wasalimu amri. Jionee:
View attachment 2821803
Leo masaa kadhaa baada ya mazayuni kukubali kusimamisha vita na Wapalestina kutoka mafichoni Ghaza na kuanza kusherehekea ushindi, Netanyahu kageuka tena na kusema hajasitisha mapigano.
Haijulikani ni yeye mwenyewe kabadili maamuzi au mabwana zake wa Marekani wamemuamuru abadili maamuzi.
Vijana wa Kipalestina kusikia hivyo, wakalianzisha tena.
Video clips zinafatia.
Lakini
Hii RPG ya Yassin 105 ni moja ya silaha bora zitakazoingia kwenye Guiness book.zina uwezo wa ajabu wa kuripua vifaru vya kisasa kama vile merkava na Abrams 1&2Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.
Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi:
- Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi
Siku za mwanzoni mwanzoniwa haya mapigano niliandika hivi:
- Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza
Sasa tujadili ni nini kilichopekea mazayuni kushindwa mapigano na kusimamisha vita?
Hamas wanasema silaha zao za tabata ya ghaza ndizo zilizopelkea kuwainamisha mazayuni mpaka wasalimu amri. Jionee:
View attachment 2821803
Leo masaa kadhaa baada ya mazayuni kukubali kusimamisha vita na Wapalestina kutoka mafichoni Ghaza na kuanza kusherehekea ushindi, Netanyahu kageuka tena na kusema hajasitisha mapigano.
Haijulikani ni yeye mwenyewe kabadili maamuzi au mabwana zake wa Marekani wamemuamuru abadili maamuzi.
Vijana wa Kipalestina kusikia hivyo, wakalianzisha tena.
Video clips zinafatia.
Lakini
Hii RPG ya Yassin 105 ni moja ya silaha bora zitakazoingia kwenye Guiness book.zina uwezo wa ajabu wa kuripua vifaru vya kisasa kama vile merkava na Abrams 1&2
Tanzania itapendeza kama tutaanza kuziagiza kutoka Gaza.
Unajisifia kuua raia? WTF. Kiufupi Israel na IDF wamedhalilikaHamas wamewaletea wapalestina wa Gaza maafa.
Ushindi gani huo ilihali mji wote umegeuzwa kifusi huku raia 12,000 wakiuliwa ?
Lakini lakini Isarel wana jeshi imara na intelijensia.1.5 million displaced,
No working hospital,
No food, no fuel, no water, no electricity.
Still won the war?
Lkn dada Ile meli sio ya Israel. Ile Ni meli ya wajapani NYKNini kimepelekea Hamas kupata ushindi huu?
Wayemeni walipoiteka meli ndiyo wamepelekea mazungumzo kwenda na kumalizwa haraka?
Kwani imeanza leo hii vita?mnawakosea sana palestina kwa kuwadhihaki namna hii.. naamini ukiongea na mpalestina aliekuwa gaza sasa hz ambaye kapoteza familia , makazi haijui kesho yake... yaan amerudi zero anaishi kwa misaada kisha wewe ukamwambia hii truce maana yake mmeshinda vita naamini anaweza akakuzaba kibao...
vita hainaga mshindi... hata sasa hv israel wakisema ok tunatoka gaza tunawaacha palestina.. haimsadii mpalestina maisha yake yalioharibika ambapo atahitaji walau 10 years au zaid kurecover
mi naombeni badala ya kuleta ushabiki tuwe tunachochea kwa vita kuisha so ikitokea truce kama hz tuwe tunapongeza hizo pande mbili for coming to their senses na kuomba truce iendeleee hizi habari ya palestina ameshashinda vita na kejeli zinaendelea kuchochea
ila kama ndio kwa misingi ya kidini kw alengo la kuwa shaheed basi sawa.. ila mie naangalia humanity kwanza... feture ya wapalestina ipo wapi..
binafsi nafikiri Palestina wanapaswa kuja na plan B maana plan A ya kutumia nguvu haijazaa matunda kwa miaka zaidi ya 40.... wangeamua kufanya kama jordan ambapo kimsingi pia wale ni palestians... kutumia diplomasia ya kiushawishi ili pale mataifa yote yakae yaani palestina, israel na jordan
kwasabbau najiuliza mbona israel hamuoni kama ho==jordan ni threat.. angaila palestina ya wet bank ya Abbas.. naona ameanza kugundua kuwa the only way to secure a bright future kwa palestina ni kutafuta middle ground.. sababu kama maswahiba wake walau wenye kuweza kuwa na ushawishi wameshindwa kuwasaidia kwa miaka 40 basi waangalie kutumia msemo wa "Neccessary Evil"
😆😆😆Mzingiro (siege) umeisha! 👏👏👏👍Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.
Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi:
- Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi
Siku za mwanzoni mwanzoniwa haya mapigano niliandika hivi:
- Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza
Sasa tujadili ni nini kilichopekea mazayuni kushindwa mapigano na kusimamisha vita?
Hamas wanasema silaha zao za tabata ya ghaza ndizo zilizopelkea kuwainamisha mazayuni mpaka wasalimu amri. Jionee:
View attachment 2821803
Leo masaa kadhaa baada ya mazayuni kukubali kusimamisha vita na Wapalestina kutoka mafichoni Ghaza na kuanza kusherehekea ushindi, Netanyahu kageuka tena na kusema hajasitisha mapigano.
Haijulikani ni yeye mwenyewe kabadili maamuzi au mabwana zake wa Marekani wamemuamuru abadili maamuzi.
Vijana wa Kipalestina kusikia hivyo, wakalianzisha tena.
Video clips zinafatia.
Lakini
Kwani lengo la kuanzisha vita ilikuwa niniMazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.