Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

Kwani lengo la kuanzisha vita ilikuwa nini
Vita ilianza mwaka 1948 baada ya Muingereza kuigawa ardhi yao kwa mazayuni.

Haijaisha huwa mapigano yanasitishwa tu namna hii mazqyuni anapochezea kichapo.
 
Vita ilianza mwaka 1948 baada ya Muingereza kuigawa ardhi yao kwa mazayuni.

Haijaisha huwa mapigano yanasitishwa tu namna hii mazqyuni anapochezea kichapo.
Ushindi ni hadi ardhi ya Wapalestina itakapokombolewa. Hii kwa sasa ni water break tu
 
Vita ilianza mwaka 1948 baada ya Muingereza kuigawa ardhi yao kwa mazayuni.

Haijaisha huwa mapigano yanasitishwa tu namna hii mazqyuni anapochezea kichapo.
Mlaumu allah aliye waneemesha na kuwarithishaYahudi!
[emoji116][emoji116]
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ

(AL - BAQARA - 47)
Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo.

وَأَوْرَثْنَا الْقَوْمَ الَّذِينَ كَانُوا يُسْتَضْعَفُونَ مَشَارِقَ الْأَرْضِ وَمَغَارِبَهَا الَّتِي بَارَكْنَا فِيهَا ۖ وَتَمَّتْ كَلِمَتُ رَبِّكَ الْحُسْنَىٰ عَلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ بِمَا صَبَرُوا ۖ وَدَمَّرْنَا مَا كَانَ يَصْنَعُ فِرْعَوْنُ وَقَوْمُهُ وَمَا كَانُوا يَعْرِشُونَ

(AL - A'RAAF - 137)
Na tukawarithisha watu walio kuwa wanadharauliwa mashariki na magharibi ya ardhi tuliyo ibariki. Na likatimia neno jema la Mola Mlezi wako juu ya Wana wa Israili, kwa vile walivyo subiri. Na tukayaangamiza aliyo kuwa akiyafanya Firauni na kaumu yake, na waliyo kuwa wakiyajenga.
 
Unajisifia kuua raia? WTF. Kiufupi Israel na IDF wamedhalilika
Halafu baada ya kuua kote huko imebaki mikono mitupu.Inaomba irejeshewe mateka wake.
MashaAllah Hamas kwa dua walizoombewa na waislamu ulimwengu mzima wamethibitika nyayo zao hawajatetereka kwa kipigo wamebaki na akili na ushujaa wao.Mazungumzo ya kusimamisha vita na kuwatoa mateka wanafanya wakiwa wamebaki na mbinu zao kuendeleza vita.
 

Yesu naye hayumo ?? Hakuzipata neema ??
 
ni kweli wameshinda. hadi sasa waisrael waliokufa hata 1500 hawafiki, ila wapalestina ni 13,000 na Gaza yote imekuwa kama wanaishi popo.majengo hakuna, maiti utpu zipo kwenye rubbles zile. hivi huwa mnasoma shule gani ninyi mood kawachukua akili zote namna hiyo? hata kwa hesabu za kawaida tu hapo utasema hao ndugu zako wameshinda?
 
Sikiliza Majuha wenzio wa Kiislam ati wanasema hii vita itaendelea mpaka waishinde Israel na baada ya hapo America wataingia vitani na Russia vile vile, lakini Waislam watawadhinda wote hao 😄
Yaani nyinyi Waislam mna hadithi za kijuha kweli kweli. Na jinsi mlivyokuwa corrupted na kitabu chenu, kia Taifa hapa Duniani ni wagomvi wenu. Endeleeni hivyo hivyo, maana wamarekani kutokana na kuheshimu hali za binadamu mnawachezea. Mziki mtaupata siku Wachina na Warusi watakapowageuka

View: https://x.com/MEMRIReports/status/1727720411398603224?s=20
 
Huyu mandevu kalewa bangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…