Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi ni hadi ardhi ya Wapalestina itakapokombolewa. Hii kwa sasa ni water break tuVita ilianza mwaka 1948 baada ya Muingereza kuigawa ardhi yao kwa mazayuni.
Haijaisha huwa mapigano yanasitishwa tu namna hii mazqyuni anapochezea kichapo.
Mla Kala Leo Mla Jana Kala nini??Watu wapo kambi ya mateso kwa miaka 75, utawazingira nini zaidi waone ajabu?
Mwaka huu wameamuwa, liwalo na liwe.
Mlaumu allah aliye waneemesha na kuwarithishaYahudi!Vita ilianza mwaka 1948 baada ya Muingereza kuigawa ardhi yao kwa mazayuni.
Haijaisha huwa mapigano yanasitishwa tu namna hii mazqyuni anapochezea kichapo.
Halafu baada ya kuua kote huko imebaki mikono mitupu.Inaomba irejeshewe mateka wake.Unajisifia kuua raia? WTF. Kiufupi Israel na IDF wamedhalilika
Lkn dada Ile meli sio ya Israel. Ile Ni meli ya wajapani NYK
NIPPON YUSEN KAISHA
Mlaumu allah aliye waneemesha na kuwarithishaYahudi!
[emoji116][emoji116]
يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اذْكُرُوا نِعْمَتِيَ الَّتِي أَنْعَمْتُ عَلَيْكُمْ وَأَنِّي فَضَّلْتُكُمْ عَلَى الْعَالَمِينَ
(AL - BAQARA - 47)
Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo.
وَأَوْرَثْنَا الْقَوْمَ الَّذِينَ كَانُوا يُسْتَضْعَفُونَ مَشَارِقَ الْأَرْضِ وَمَغَارِبَهَا الَّتِي بَارَكْنَا فِيهَا ۖ وَتَمَّتْ كَلِمَتُ رَبِّكَ الْحُسْنَىٰ عَلَىٰ بَنِي إِسْرَائِيلَ بِمَا صَبَرُوا ۖ وَدَمَّرْنَا مَا كَانَ يَصْنَعُ فِرْعَوْنُ وَقَوْمُهُ وَمَا كَانُوا يَعْرِشُونَ
(AL - A'RAAF - 137)
Na tukawarithisha watu walio kuwa wanadharauliwa mashariki na magharibi ya ardhi tuliyo ibariki. Na likatimia neno jema la Mola Mlezi wako juu ya Wana wa Israili, kwa vile walivyo subiri. Na tukayaangamiza aliyo kuwa akiyafanya Firauni na kaumu yake, na waliyo kuwa wakiyajenga.
😆😆😆Mzingiro (siege) umeisha! 👏👏👏👍
Muulize Allah...Yesu naye hayumo ?? Hakuzipata neema ??
Muulize Allah...
ni kweli wameshinda. hadi sasa waisrael waliokufa hata 1500 hawafiki, ila wapalestina ni 13,000 na Gaza yote imekuwa kama wanaishi popo.majengo hakuna, maiti utpu zipo kwenye rubbles zile. hivi huwa mnasoma shule gani ninyi mood kawachukua akili zote namna hiyo? hata kwa hesabu za kawaida tu hapo utasema hao ndugu zako wameshinda?Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.
Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi:
- Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi
Siku za mwanzoni mwanzoniwa haya mapigano niliandika hivi:
- Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza
Sasa tujadili ni nini kilichopekea mazayuni kushindwa mapigano na kusimamisha vita?
Hamas wanasema silaha zao za tabata ya ghaza ndizo zilizopelkea kuwainamisha mazayuni mpaka wasalimu amri. Jionee:
View attachment 2821803
Leo masaa kadhaa baada ya mazayuni kukubali kusimamisha vita na Wapalestina kutoka mafichoni Ghaza na kuanza kusherehekea ushindi, Netanyahu kageuka tena na kusema hajasitisha mapigano.
Haijulikani ni yeye mwenyewe kabadili maamuzi au mabwana zake wa Marekani wamemuamuru abadili maamuzi.
Vijana wa Kipalestina kusikia hivyo, wakalianzisha tena.
Video clips zinafatia.
Lakini
umeisha Mzingiro au bado??mzingiro umesaidia kuwapata mateka wake
Mimi Nimenukuu.... au kisilamu silamu unaona Mimi ndie allah??Nakuuliza wewe uliyeleta aya inataja bani israeli wala haiongelei yahudi
Umenukuu kwani Aya inaongelea wayahudi??Mimi Nimenukuu.... au kisilamu silamu unaona Mimi ndie allah??
Kwani dhumuni la mzingiro ni lipi?umeisha Mzingiro au bado??
Sikiliza Majuha wenzio wa Kiislam ati wanasema hii vita itaendelea mpaka waishinde Israel na baada ya hapo America wataingia vitani na Russia vile vile, lakini Waislam watawadhinda wote hao 😄Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.
Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi:
- Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo jana na juzi
Siku za mwanzoni mwanzoniwa haya mapigano niliandika hivi:
- Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza
Sasa tujadili ni nini kilichopekea mazayuni kushindwa mapigano na kusimamisha vita?
Hamas wanasema silaha zao za tabata ya ghaza ndizo zilizopelkea kuwainamisha mazayuni mpaka wasalimu amri. Jionee:
View attachment 2821803
Leo masaa kadhaa baada ya mazayuni kukubali kusimamisha vita na Wapalestina kutoka mafichoni Ghaza na kuanza kusherehekea ushindi, Netanyahu kageuka tena na kusema hajasitisha mapigano.
Haijulikani ni yeye mwenyewe kabadili maamuzi au mabwana zake wa Marekani wamemuamuru abadili maamuzi.
Vijana wa Kipalestina kusikia hivyo, wakalianzisha tena.
Video clips zinafatia.
Lakini
Sikiliza Majuha wenzio wa Kiislam ati wanasema hii vita itaendelea mpaka waishinde Israel na baada ya hapo America wataingia vitani na Russia vile vile, lakini Waislam watawadhinda wote hao 😄
Yaani nyinyi Waislam mna hadithi za kijuha kweli kweli. Na jinsi mlivyokuwa corrupted na kitabu chenu, kia Taifa hapa Duniani ni wagomvi wenu. Endeleeni hivyo hivyo, maana wamarekani kutokana na kuheshimu hali za binadamu mnawachezea. Mziki mtaupata siku Wachina na Warusi watakapowageuka
View: https://x.com/MEMRIReports/status/1727720411398603224?s=20