Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

Sijui kwa nn msomi kama wewe "kuna wakati unaandika and I know ni msomi na mwelewa sana" Unaweza kukubali kujidanganya kwa kiwango hicho.
Ukiwa muumini wa dini ya mnyazimungu,mvaa vipedo na makobazi, kichwa badala ya kutumia kufikiri, unatumia kufugia nywele na ndevu!
 
Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.

Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi:

Siku za mwanzoni mwanzoniwa haya mapigano niliandika hivi:

Sasa tujadili ni nini kilichopekea mazayuni kushindwa mapigano na kusimamisha vita?

Hamas wanasema silaha zao za tabata ya ghaza ndizo zilizopelkea kuwainamisha mazayuni mpaka wasalimu amri. Jionee:

View attachment 2821803

Leo masaa kadhaa baada ya mazayuni kukubali kusimamisha vita na Wapalestina kutoka mafichoni Ghaza na kuanza kusherehekea ushindi, Netanyahu kageuka tena na kusema hajasitisha mapigano.

Haijulikani ni yeye mwenyewe kabadili maamuzi au mabwana zake wa Marekani wamemuamuru abadili maamuzi.

Vijana wa Kipalestina kusikia hivyo, wakalianzisha tena.

Video clips zinafatia.

Lakini
udini utakuua
 
Ushindi gani unaongelea wewe bibi tarabushi FaizaFoxy wakati Gaza kaskazini inakaliwa na Israeli.Majengo yote ya serikali,makao makuu ya Hamas,mahospitali,shule ,misikiti yote ipo chini ya Israeli;Pande zote,ardhini,majini na angani!
 
Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.
Wewe shuleni ulisomea ujinga bila shaka.

Makubaliano hayakufikiwa kwa masharti ya magaidi ya Hamas, bali ni kutokana na juhudi za USULUHISHI wa Qatar na Misri, ili kutoa mwanya kwa misaada ya kibinadamu kama chakula, madawa, nk kufikishwa huko..
1700665638097.png
 
Ninachokupenda dada FaizaFoxy ni kitu kimoja tu unaweza kuwapiga spana wavaa rozari wote wa jf..

Wavaa rozari wengi ni wapumbavu! Mwezi wa pili huu hatuoni ushindi wa mazayuni licha ya kusainiwa na USA,UK na Ufaransa..

Narudia tena kuwaambia Mazayuni hayatashinda hata yakibomoa majengo yote ya Gaza, na Kila lizayuni litakaloingia kwenye handaki kurudi Tena uraiani ni majaliwa yake mola.
 
Hatari unaripoti ukitokea wapi mkuu maana hii tunashangilia pamoja kushindwa mazayuni na watu waliomtegemea Allah bila kujali majiguvu ni bebe ya mazayuni!
Naam, mpaka leo wanamtegemea Allah, tazama wanajeshi wa kizayuni wanakumbana na nguvu wasizoziona zinatokea wapi:

Vita haijaisha, wameshinda mapigano ya Ghaza na wamewalazimisha wazayuni kusimamisha mapigano (ceasefire) kwa masharti yao.

Nani alikwambia vita imeisha?

Hivi hizo shule mlienda kusimea ujinga?
Kushinda au kushindwa kunahitimishwa baada ya vita kuisha unless otherwise upande mmoja uonyeshe kusurrender na hivyo kuupa upande wa pili landslide victory.

Kushinda au kushindwa upande mwingine huangaliwa na madhara kila upande uliopata hivyo kudhoofisha na kufifisha upande mwingine kuwa na nguvu ya kuendelea kusonga mbele kwenye uwanja wa vita.

So far Palestine imepata madhara makubwa sana ndio maana hata jamii ya kimataifa imetoa petition nyingi kuomba kusitishwa kwa mapigano sababu wanaoathirika sio Hamas bali watoto na kina mama wasio na hatia .

Hamas wanajificha kwa kujenga mahandaki katika maeneo ya huduma za kijamii kama hospitali na shule hivyo IDF wakipiga casualities nyingi tunaona wanaokufa ni unarmed civilians so far Hamas walichotimiza ni kuivamia Israel kwa suprise October 7 , ila kama ni madhara makubwa baada ya hapo wameyapata zaidi.
 
Haaretz inaripoti kuwa makubaliano ya kubadilishana kati ya Wapalestina na Israel yalipendekezwa na upinzani hapo awali lakini Netanyahu alikataa.

Netanyahu alikubali kukubali mpango huo huo kutokana na shinikizo kutoka kwa familia za wafungwa wa Israel huko #Gaza baada ya ripoti kwamba jeshi la Israel liliwaua kadhaa kati yao katika mashambulizi yake ya mabomu.
 
Naam, mpaka leo wanamtegemea Allah, tazama wanajeshi wa kizayuni wanakumbana na nguvu wasizoziona zinatokea wapi:

View attachment 2821857
Hii ni kumbukumbu nzuri na ya kutunzwa jeshi lenye technology ya hali ya juu na wanasapoti ya america magaidi namba moja ulimwenguni wauwaji wakubwa laana matulillah wameshindwa kukifuta kizazi cha wapelestina na hatia wasio na silaha ndege wala kifaru!
 
Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.

Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi:

Siku za mwanzoni mwanzoniwa haya mapigano niliandika hivi:

Sasa tujadili ni nini kilichopekea mazayuni kushindwa mapigano na kusimamisha vita?

Hamas wanasema silaha zao za tabata ya ghaza ndizo zilizopelkea kuwainamisha mazayuni mpaka wasalimu amri. Jionee:

View attachment 2821803

Leo masaa kadhaa baada ya mazayuni kukubali kusimamisha vita na Wapalestina kutoka mafichoni Ghaza na kuanza kusherehekea ushindi, Netanyahu kageuka tena na kusema hajasitisha mapigano.

Haijulikani ni yeye mwenyewe kabadili maamuzi au mabwana zake wa Marekani wamemuamuru abadili maamuzi.

Vijana wa Kipalestina kusikia hivyo, wakalianzisha tena.

Video clips zinafatia.

Lakini
Kwa kweli ni ushindi mkubwa sana ashukuriwe allah maana;
1. gaza kumegeuzwa magofu,
2. zaidi ya wapalestina 14,100 wamefyekelewa mbali na wengi sana wapo kuzimu kwa sasa wanampigia mtume mudi stori za wayahudi.
3. wapalestina kibao wamefurushwa kwenye makazi yao na hivyo wamekuwa wakimbizi na hawana pa kurudi.
4. gaza imekuwa chini ya udhibiti mkamilifu wa wayahudi na hakuna mpango wa kuwarudishia panyarodi hamas.
5. wapalestina wamekosa huduma za kibinadamu kiasi cha wanawake wa kipalestina kushindwa kupata hata maji kidogo tu ya kujisafisha uchafu wa hedhi.
6. vifaa vya kijeshi/miundo mbinu ya kijeshi ya vipanyarodi vya hamas imeteketezwa na wayahudi.
 
Sijui kwa nn msomi kama wewe "kuna wakati unaandika and I know ni msomi na mwelewa sana" Unaweza kukubali kujidanganya kwa kiwango hicho.
Hawa watu wa kwenda kula bikira hawanaga akili jombaa achana nao. Kuna sehem nilikuwa juz huku China walishaambiwa hakuna kuita watu kusali asubuhi kila mtu anajua Wakat wa kusali. Wakajichanganya. Mzee Baba usiombe. Xi Jin ping hafai. Hakuna cha msikitin wala ***** aliyebaki. Na hakuna vyombo vya habari watu ni kukamatwa tu bila sababu.
 
Sijui kwa nn msomi kama wewe "kuna wakati unaandika and I know ni msomi na mwelewa sana" Unaweza kukubali kujidanganya kwa kiwango hicho.
Ana usomi gani huyu!kuongea hizo yes no yes no zake ndiyo useme ana elimu?

Humo kichwani kajaza kurasa za kitabu cha dini utegemee elimu ya mambo ya kidunia itakaa?
 
Hawa watu wa kwenda kula bikira hawanaga akili jombaa achana nao. Kuna sehem nilikuwa juz huku China walishaambiwa hakuna kuita watu kusali asubuhi kila mtu anajua Wakat wa kusali. Wakajichanganya. Mzee Baba usiombe. Xi Jin ping hafai. Hakuna cha msikitin wala ***** aliyebaki. Na hakuna vyombo vya habari watu ni kukamatwa tu bila sababu.
Xi Jin anajua akiruhusu hii dini ya mudi ikajifanyia inavyotaka ugaidi utaingia china hivyo anawapiga pini la kufa mtu.
 
Vita inaendelea, wamsitisha mapigano tu. Mpaka dakika hii israel kashindwa vibaya sana.
Wewe mwanamke,em toka hapa nenda kaoge kwanza jannaba akili ifunguke uje hapa kueleza vizuri!

Heading umeandika ”Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?” huku chini unasema vita bado inaendelea.

Hivi huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
 
Xi Jin anajua akiruhusu hii dini ya mudi ikajifanyia inavyotaka ugaidi utaingia china hivyo anawapiga pini la kufa mtu.
Mchina ndie ninaemkubali kwenye hiz Mambo mjomba. Yaan ukiwa mkristo cjui Papa achague askofu hakuna. Askofu wa hapa anachaguliwa na serikali so unafanya ukristo wako chini ya utii wa serikali na hawana masihara. Huku uighur Mzee hawa makobaz wanaendeshwa chini ya sheria za china. Na madrasa zao walimu ni wakomunisti na watoto wana shule zao maalumu kuwakinga na masomo ya kigaidi. Mchina ni bastola mkononi Mzee. Wanakuambia hiz ni sheria za China.
 
aione FaizaFoxy kwenye faili
 
Back
Top Bottom