Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

Hii vita ilipata tokea mwaka gani mkuu, sababu ya vita ilikua nn na walipigana ktika eneo gani hadi kupelekea kufurushwa...
Huenda ikanisaidia maana kuna story nataka niichore...

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Wanajipendekezaga kwa wachaga, wanasemaga 'naenda moshi'

mleta mada kasema wengi wanasema Upareni yaani Paris sasa wewe umeshamuona mpare anaenda Upareni alafu aseme anaenda Moshi
labda ukuta anaenda Moshi kweli pia Moshi kuna kipi cha ajabu hadi wajipendekeze wewe mama
Ni mkoa huo huo haina shida wapare wengi ndiyo waliajazana huko Moshi
 
Huwa hawataki kutaja hasa maeneo waliyotoka, yaani Chome, Mwanga, Ugweno na Usangi.

Ukiwauliza wanasema kwao Moshi [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…