Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

Uahsuri murua huu. Kuwa na Plan B, C, D... muhimu sana kwa watoto, tusiwalazimishe sana wakariri what is physics kama wanaweza wakafanya mambo mengine ya kujenga nchi
Mkuu, umenikumbusha mbali sana na hiyo "What is physics". Wakati ninasoma hilo somo kidato cha pili tulifundishwa kitu kinaitwa Vernier Caliper ambayo mpaka leo sikumbuki tena hata inasomwaje.
 
Acha tu ndugu. Hatujui tumepoteza akina Ronaldo na Akina Rooney wangapi kwa kuwalazimisha kuwa kremisha Trans Atlantic Slave Trade 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sad indeed. Mfumo wetu wa elimu unahitaji overhaul kubwa sana mkuu
 
Back
Top Bottom