Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
End of the day BET wanajua wao hiyo tuzo watampa Nan kura zenu means Nothing. Ngoja niendelee kula zangu Konyagi...
Vyovyote ni Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
End of the day BET wanajua wao hiyo tuzo watampa Nan kura zenu means Nothing. Ngoja niendelee kula zangu Konyagi...
Uchawi mtupu
Hii ndio shida ya kuwa na mbunge mmoja , mda mwingi mnajikita kwenye ujinga badala ya kuendeleza chama chenu, kadanganyeni watoto huko nyie ni chadema hakuna wapenda haki wala ukwaWAPENDA HAKI HATUTAMCHAGUA DIAMOND PLATNUM
Na, Robert Heriel
Katika Tuzo za BET Diamond ni moja ya Wasanii wanaowania Tuzo hizo.
Wapenda haki, wanaharakati na Wana mtandao wote kuanzia Facebook, Instagram, JamiiForums, na Twitter Kama tulivyokubaliana hatutampa Kura Diamond Platnum na hatashinda tuzo hizo Kwa sababu ameshindwa kutumia nafasi yake vizuri kuilinda, kuijenga na kuitetea jamii yake.
Diamond hajawahi kutetea jamii ya Watanzania.
Utekaji na mauaji yalivyopamba Moto Diamond alikuwa wakwanza kutoa kibao chenye ujumbe usemao " Acha Nikae kimya" maudhui ya wimbo ule yalilenga kuhafifisha na kutia uoga jamii isipige kelele kuhusiana na vitendo hivyo vya udhalimu.
Diamond ni tofauti kabisa na Wasanii wa Nigeria Kama kina P Square, Burns boy, Davido n.k ambao mara kadhaa walijitokeza kuungana na jamii kuipinga serikali pale inapokosea mpaka kuandamana kabisa.
Diamond hawezi chaguliwa na watu wote walioenda shule, waliostaarabika, wapenda haki na wanaharakati.
Kwa hapa Nchini waliojaribu na wanaojitahidi kutetea haki na kutetea jamii ni kina Ney wamitego, Roma mkatoliki, Profesa Jay miongoni mwa wengine.
Diamond ni Aina ya wanamuziki wanaoiona jamii Kama jamii ya vibushuti sio ajabu ndio maana nyimbo zake nyingi hasa za siku hizi niza vibushuti, zinalenga watu wenye Low IQ.
Diamond Kama angenoga Kama angeimba nyimbo Kama za kipindi kile mathalani "nimpende Nani" ukimuona" Nitampata wapi" lakini sio hizi za Jeje na mfano wa zile za nyoka pangoni.
Kama tulivyokubaliana Kura asipate.
Ili iwe funzo Kwa Wasanii wa kizazi kinachokuja.
Msanii ambaye ni kioo cha jamii badala aungane na jamii yeye anaungana na serikali. Ajabu hii.
Hii ipo katika nchi yetu pekee.
Hata Marekani wenye muziki wao Wasanii wao huwa upande wa wananchi.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Hii ndio shida ya kuwa na mbunge mmoja , mda mwingi mnajikita kwenye ujinga badala ya kuendeleza chama chenu, kadanganyeni watoto huko nyie ni chadema hakuna wapenda haki wala ukwa
hizi nazo hoja? ahahahahaha kweli mmeishiwa mtapa tapa, ebu tuambie mtoto gani Diamond amemkataa ?CCM aliokua anawapigia campaign wampitishe bila kupingwa BET AWARDS.
Binafsi, Diamond angekua anachuana kwenye hizo tuzo na "FUNGU LA MAVI", basi ningelipigia kura hilo fungu la mavi, ila sio huyo jamaa. Hatetei chochote kwa taifa letu, ila anataka yeye atatetewe;
1) Ana dhalilisha wanawake (Kujaza mimba na kuwaacha), as if yeye ndio rijali peke yake.
2) Akisaidia au kutoa msaada basi lazima ajitangaze.
3) Hashughuliki kutetea vijana wasio na ajira kitaifa, waliosoma na hawana ajira.
4) Hashughuliki na kutetea uvunjwaji wa haki za binaadamu.
5) Hashughuliki na kupaza sauti juu ya uonevu unaofanywa na viongozi wa mikoa na wilaya.
6) Ana haribu jamii, hasa vijana, kuvaa hereni/vikuku n.k
Ulitaka aende ufipaAkaombe kura Lumumba
Diamond ni msanii na ana maamuzi yake ya kufanya sanaa kwa upande upi, hizi sababu bado siyo sababu za Diamond kunyimwa kura, kama hautaki kumpigia sema tu lakini siyo kuja na sababu ambazo siyo kimapumbele cha sanaa anayoifanya,kila msani hufanyaa sanaa kulingana na anavyoona inafaa na kwa faida ya jamii yake, ipo siku sasa watu watalazimisha kuimba taarabu.
Kwani mboga alipeleka wapi??Mimi nampa eboo tusipangiane maisha na atashinda tu.
Uchawi ni nini ni kumchukia kijana anayeliwakilisha taifa, kisa upuuzi wako usimpe kula
Roho mbaya haijengi
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
7) Kamtelekeza baba/Mlezi wake....CCM aliokua anawapigia campaign wampitishe bila kupingwa BET AWARDS.
Binafsi, Diamond angekua anachuana kwenye hizo tuzo na "FUNGU LA MAVI", basi ningelipigia kura hilo fungu la mavi, ila sio huyo jamaa. Hatetei chochote kwa taifa letu, ila anataka yeye atatetewe;
1) Ana dhalilisha wanawake (Kujaza mimba na kuwaacha), as if yeye ndio rijali peke yake.
2) Akisaidia au kutoa msaada basi lazima ajitangaze.
3) Hashughuliki kutetea vijana wasio na ajira kitaifa, waliosoma na hawana ajira.
4) Hashughuliki na kutetea uvunjwaji wa haki za binaadamu.
5) Hashughuliki na kupaza sauti juu ya uonevu unaofanywa na viongozi wa mikoa na wilaya.
6) Ana haribu jamii, hasa vijana, kuvaa hereni/vikuku n.k
Hizo tuzo alizowahi kupata huko nyuma ulikuwa unampa weewe na mamako?Kwani lini mmewai mpa kura na akashinda.
Tatizo ni nini hasa? Kale ulikopeleka mboga jombaaa [emoji23] [emoji23]The reason why wanaharakati kuwa mediocre.... Young killer alishaimba hamna mwanaharakati tajiri....unajua sababu?
Nmecheki thread nkajua mtoto wa kike kaandika kucheki hiyo profile yake...niseme tu kwa mtoto wa kiume unatabia za kishoga
Naam mkuu huyu jamaa aliyeleta huu uzi ni shoga aliyekubuhu na hapa anajitangaza.. Msamehe bureNmecheki thread nkajua mtoto wa kike kaandika kucheki hiyo profile yake...niseme tu kwa mtoto wa kiume unatabia za kishoga
wewe akili kama nzi wa maliwatoni! sijui anaimba nini lakini nampigia kura na ninaendelea kuhamasisha wadau hapa kijana amepambana sana.Endelea kuuliza maswali hapo.
Ujumbe umefika, utekelezaji ndio umebakia.
Sijawahi andika kitu kisifanye kazi