Wapenda haki hatutompa Kura Diamond Platnum kama tulivyokubaliana

Hii ndio shida ya kuwa na mbunge mmoja , mda mwingi mnajikita kwenye ujinga badala ya kuendeleza chama chenu, kadanganyeni watoto huko nyie ni chadema hakuna wapenda haki wala ukwa
 
Hii ndio shida ya kuwa na mbunge mmoja , mda mwingi mnajikita kwenye ujinga badala ya kuendeleza chama chenu, kadanganyeni watoto huko nyie ni chadema hakuna wapenda haki wala ukwa

Wewe ndio CHADEMA, Acha kunihusisha na vitu visivyoeleweka
 
hizi nazo hoja? ahahahahaha kweli mmeishiwa mtapa tapa, ebu tuambie mtoto gani Diamond amemkataa ?
 
Diamond ni msanii na ana maamuzi yake ya kufanya sanaa kwa upande upi, hizi sababu bado siyo sababu za Diamond kunyimwa kura, kama hautaki kumpigia sema tu lakini siyo kuja na sababu ambazo siyo kimapumbele cha sanaa anayoifanya,kila msani hufanyaa sanaa kulingana na anavyoona inafaa na kwa faida ya jamii yake, ipo siku sasa watu watalazimisha kuimba taarabu.
 

Umenena vyema.

Na kila kundi la wapiga Kura hupiga Kura Kwa kadiri ya waonavyo.

Hivyo upo sahihi.
 
Huyo jamaa anachojua ni kufundisha watoto wa kiume kuvaa visuruali vya kubana, kutoboa masikio, kusuka rasta, kuimba matusi, kudhalilisha watoto wa kike, kusifia ngono na anasa! Hala lolote ni ujinga tu. Kizazi cha nyoka kitampa kura ila si Mimi aisee.
 
Nmecheki thread nkajua mtoto wa kike kaandika kucheki hiyo profile yake...niseme tu kwa mtoto wa kiume unatabia za kishoga
 
7) Kamtelekeza baba/Mlezi wake....
 
The reason why wanaharakati kuwa mediocre.... Young killer alishaimba hamna mwanaharakati tajiri....unajua sababu?
Tatizo ni nini hasa? Kale ulikopeleka mboga jombaaa [emoji23] [emoji23]
 
Nmecheki thread nkajua mtoto wa kike kaandika kucheki hiyo profile yake...niseme tu kwa mtoto wa kiume unatabia za kishoga
Naam mkuu huyu jamaa aliyeleta huu uzi ni shoga aliyekubuhu na hapa anajitangaza.. Msamehe bure
 
Endelea kuuliza maswali hapo.

Ujumbe umefika, utekelezaji ndio umebakia.

Sijawahi andika kitu kisifanye kazi
wewe akili kama nzi wa maliwatoni! sijui anaimba nini lakini nampigia kura na ninaendelea kuhamasisha wadau hapa kijana amepambana sana.
 
Huu uzi umekaa kiboya boya Sana......unafikiri kura yako moja nyeusi itabadilisha matokeo....... diamond platnumz kama ni kushinda atashinda Tu na kama ni kushindwa atashinda Tu........usiwe group moja na wapumbavu.......kwenye kampeni za ccm ni Nani asiye jua kuwa ccm wanatoa pesa nyingi kulipa wasanii na ndio sehemu Yao ya kurudisha pesa zao za studio....maana wewe na kubwatuka kwako kote hapa oooh anaimba matusi sijui nini ujawai hata kununua kaseti ya zaikO langa langa au muhidini mwinyishehe.......unataka diamond aje Kura na kulala Kwa BABA yako?? Kulikuwa na wasanii wangapi pale kwenye ccm mpaka iwe ni diamond pekee?? Acha wivu butu kenge wewe pambania maisha yako ilimradi the most high amekupa roho yake na pumzi ........au unafikiri tuzo zile ni kama za kirimanjaro uku bongo??.........Kule hakuna fitna wala kujuana kama unajua unajua Tu.....Acha wivu mchko wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…