Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

Hizo zetu sanaaa,🀣🀣🀣majina ndio zetu mbona, yaani Mtu anaongelewa unadhani humjui kumbe unamjua sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Vitabia tabia fulani lazima mfanane
 
Kuniwekea miguu yake kifuani wakati tumelaa

Na tembea yangu
 
Hizo zetu sanaaa,🀣🀣🀣majina ndio zetu mbona, yaani Mtu anaongelewa unadhani humjui kumbe unamjua sana
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒ
 
Wanaume tunazidi kupungua

Mnakaa kabisa na mkeo kama mashosti kupiga umbea

Mnakuwa mmevaa na kanga kabisa?
Mzee watu wa pwani kuvaa kanga za wake zao ni kawaida. Hujawahi kusikia kuna wanaume wa Tanga wanavaa shanga, ili wawabandue mademi vizuri?


Kuna watu wamepinda sana out there. Unakuta mtu katoka na kanga ya mke wake asubuhi anaenda dukani kununua dawa ya meno.
 
Ndio maana Tanga na mikoa ya pwani kuna machoko wengi sana
 
Kuna watu wana ambukizana viburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…