ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Unamiss vitu vidogo vya msingi sana dogo, we endelea kukataa ndoa tuš¤£Kaka mkubwa hata kama unajifanya kuenjoy hayo sioi kamwe[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamiss vitu vidogo vya msingi sana dogo, we endelea kukataa ndoa tuš¤£Kaka mkubwa hata kama unajifanya kuenjoy hayo sioi kamwe[emoji16][emoji16]
Hahahaha mkuu ata wewe kuna tuvitu twa kuwa huru unatumisiš¤£Unamiss vitu vidogo vya msingi sana dogo, we endelea kukataa ndoa tuš¤£
Hizo zetu sanaaa,š¤£š¤£š¤£majina ndio zetu mbona, yaani Mtu anaongelewa unadhani humjui kumbe unamjua sanaIsije kuwa wewe ndio mke wangu ?
Maana hizo tunazo sana mimi na wife.
Tumepachika sana watu majina yasiyo rasmi na majina hayo tunayajua mimi na yeye tu,so wakati tunaongea hatuwataji watu kwa majina yao bali tunataja kwa yale majina tuliyowapa sisi.
Hiyo ni ishara nzuri katika mahusiano kwa sababu inatengeneza chemistry ambayo ni ya uhakika sana,mtashsngaa mnsgombanaaaa wee ila kuhusu kuachana wala hamjawahi kuwazaga kumbe mmeshatengeneza chemistry kitambooo
Yaani Raha,halafu aonyeshe kama anaufurahi huo umbeaššAlafu tukiwapa ushirikiano kwenye umbea mnafurahi kweli hadi mnasahau matatizo mengine š
ššššVitabia tabia fulani lazima mfananeWapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically.
Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake labda seblen mie nipo nje au chumbani utasikia anatumia hayohayo maneno nnayotumiaga mimi. Vile vile hata ongea yangu naona anaiiga na mm kuna baadhi ya maneno machache nimeyatoa kwake pamoja na namna ya kuyatamka.
Ww je umefanana nini na mpenzi wako?
Kuniwekea miguu yake kifuani wakati tumelaaWapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically.
Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake labda seblen mie nipo nje au chumbani utasikia anatumia hayohayo maneno nnayotumiaga mimi. Vile vile hata ongea yangu naona anaiiga na mm kuna baadhi ya maneno machache nimeyatoa kwake pamoja na namna ya kuyatamka.
Ww je umefanana nini na mpenzi wako?
Sio kweli, katika vitu siwezi ni kubaki single. Maisha magumu sana hayo...Hahahaha mkuu ata wewe kuna tuvitu twa kuwa huru unatumisiš¤£
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£šHizo zetu sanaaa,š¤£š¤£š¤£majina ndio zetu mbona, yaani Mtu anaongelewa unadhani humjui kumbe unamjua sana
Unakuwa shosti wake wa nyumbani?mke kavaa kanga, mme kapiga msuli. Maisha mafupi bwasheee kuwa kaksi mda wote sio sawa
Hicho kilikuwemo ila kwa muda mrefu kilikosa mtu sahihi wa kukikuza, wife kafanya yake sasa.
Mi mpaka saivi, anapambana...mi nabadilishaga mada chap, hawa viumbe bhana.
mke kavaa kanga, mme kapiga msuli. Maisha mafupi bwasheee kuwa kaksi mda wote sio sawa
Hapana bwana
Mzee watu wa pwani kuvaa kanga za wake zao ni kawaida. Hujawahi kusikia kuna wanaume wa Tanga wanavaa shanga, ili wawabandue mademi vizuri?Wanaume tunazidi kupungua
Mnakaa kabisa na mkeo kama mashosti kupiga umbea
Mnakuwa mmevaa na kanga kabisa?
Ndio maana Tanga na mikoa ya pwani kuna machoko wengi sanaMzee watu wa pwani kuvaa kanga za wake zao ni kawaida. Hujawahi kusikia kuna wanaume wa Tanga wanavaa shanga, ili wawabandue mademi vizuri?
Kuna watu wamepinda sana out there. Unakuta mtu katoka na kanga ya mke wake asubuhi anaenda dukani kununua dawa ya meno.
Kuna watu wana ambukizana viburiWapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically.