Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

Woooi, ndo maana magufuli aliwahi kusema "Msije shangaa naosha vyombo nyumbani" wanaume tukiwa kwa wake zetu kuna mengi sana yanatokeaga yaan image 2 tofauti kabisa. Ona wa huyu yeye anadeka, hahahahaa
Sasa na alivyo na career yake hutokaa uamini anavyodeka!

Kuna siku sijui aliniudhi nini nikakasirika sikumwambia kama nampenda, akanitumia VN analalamika mpaka kesho nikiisikiliza nacheka sana!
 
Sasa na alivyo na career yake hutokaa uamini anavyodeka!

Kuna siku sijui aliniudhi nini nikakasirika sikumwambia kama nampenda, akanitumia VN analalamika mpaka kesho nikiisikiliza nacheka sana!
Hahahaha

Nyie mapenzi yenu ya kihindi.
 
Wanapenda umbea hawa viumbe sio poa, kuna nyakati hata kusubiri jioni mkirudi home anaona kuchelewa, unavutiwa waya wote mkiwa kazini. Unasikiliza tu sasa utafanyaje!
Kaka mkubwa hata kama unajifanya kuenjoy hayo sioi kamwe[emoji16][emoji16]
 
Tuna misemo yetu ambayo mwingine hawezi elewa,tunaweza kukusengenya upo hapo hapo🥲
Isije kuwa wewe ndio mke wangu ?
Maana hizo tunazo sana mimi na wife.

Tumepachika sana watu majina yasiyo rasmi na majina hayo tunayajua mimi na yeye tu,so wakati tunaongea hatuwataji watu kwa majina yao bali tunataja kwa yale majina tuliyowapa sisi.

Hiyo ni ishara nzuri katika mahusiano kwa sababu inatengeneza chemistry ambayo ni ya uhakika sana,mtashsngaa mnsgombanaaaa wee ila kuhusu kuachana wala hamjawahi kuwazaga kumbe mmeshatengeneza chemistry kitambooo
 
Back
Top Bottom