Susan aliamua kuondoka kwa mama yake baada ya kugundua kuwa mama yake anatembea na boyfriend wake. Hivyo akaamua kurudi kwa baba yake aishie USA.Naombeni kuuliza hivi Yule Susana na mama aka waliishia wap?
Bao la Ramon lileyake wiki tatu
Ameshakichukua na kusepa nacho,nahisi ile ni ngada.naona anamnyeemelea yulee rulo na kibegi anataka ajue mna nn
ananikera yani yuko radhi afanye kila namna kwa ajili ya pesaAmeshakichukua na kusepa nacho,nahisi ile ni ngada.
woyoooo fransisco kaoa ramon kalala na mke kibongo angekomaBao la Ramon lile
Kuchukua tabia ya baba yake...ananikera yani yuko radhi afanye kila namna kwa ajili ya pesa
hulyo mahusiano yake na huanna yameishia wapi?Kuchukua tabia ya baba yake...
Hulio amemingeji... Ila bado ni ya kusua sua na hili linamkera Sana Juana! Na hasa pale anapokuwa na shida muhimu na Hulio ambaye anakuwa hapatikaniki au kuwa na udhuru mwingine....hulyo mahusiano yake na huanna yameishia wapi?
hatar watu wazima mapenzi yanawapelekeshaHulio amemingeji... Ila bado ni ya kusua sua na hili linamkera Sana Juana! Na hasa pale anapokuwa na shida muhimu na Hulio ambaye anakuwa hapatikaniki au kuwa na udhuru mwingine....
Pale hamna mapenzi Julio he is after moneyhatar watu wazima mapenzi yanawapelekesha
Kwahyo Julio anajua mwanae anatoka na mama ake Susana?Susan aliamua kuondoka kwa mama yake baada ya kugundua kuwa mama yake anatembea na boyfriend wake. Hivyo akaamua kurudi kwa baba yake aishie USA.
Mama yake aliendelea na mapenzi na boyfriend wa Susan huku akiwa na uhusiano usio rasmi na baba wa kibeni ten chake.
Uhusiano wao ukaja kuzaa mapenzi na siku moja Mama huyo akajikuta anagonganisha magari... Baba mtu na mtoto wake...
Tokea tukio hilo litokee Mmama huyo hajaonyeshwa Tena! Lilikuwa vumanizi la aibu! Aliyeshinda ni mtoto na ni baada ya kuanza kumblacmail babake.
Matokeo yake anajiingiza matatizoni kama alivyopokea kipondo toka kwa mabaunsa wa mume wa yule sugar mummy wake,na kile kibegi kinaenda kumtokea puaniananikera yani yuko radhi afanye kila namna kwa ajili ya pesa
Yes indeedKwahyo Julio anajua mwanae anatoka na mama ake Susana?
hela zipi wakat huanna ameshamkatia kibunda fabi sjajua kuhusu andrea sababu alimkatalia kumpa hela zake? hatozila hulyoPale hamna mapenzi Julio he is after money
mtu mwenyewe rulo hahaa, hivi yule aliemteka sofia na ramon akataka kumgonga kina ramon wakiwa njiani baada ya kuokolewa na yule baba akajibamiza akaonekana kama amezima kwenye sukan alionyeshwa tena? sababu yule baba alirud kule mara ya pili lakini alipofika kwenye ile van hakuwepo yule mtekajMatokeo yake anajiingiza matatizoni kama alivyopokea kipondo toka kwa mabaunsa wa mume wa yule sugar mummy wake,na kile kibegi kinaenda kumtokea puani
Alipona anadunda tumtu mwenyewe rulo hahaa, hivi yule aliemteka sofia na ramon akataka kumgonga kina ramon wakiwa njiani baada ya kuokolewa na yule baba akajibamiza akaonekana kama amezima kwenye sukan alionyeshwa tena? sababu yule baba alirud kule mara ya pili lakini alipofika kwenye ile van hakuwepo yule mtekaj
duhAlipona anadunda tu
Andrea bado mshiko wake upo chini ya Juana, katumia kidogo kwa kununua shamba.hela zipi wakat huanna ameshamkatia kibunda fabi sjajua kuhusu andrea sababu alimkatalia kumpa hela zake? hatozila hulyo
Mama shamkupe mdangaji wa Casino🤣🤣Susan aliamua kuondoka kwa mama yake baada ya kugundua kuwa mama yake anatembea na boyfriend wake. Hivyo akaamua kurudi kwa baba yake aishie USA.
Mama yake aliendelea na mapenzi na boyfriend wa Susan huku akiwa na uhusiano usio rasmi na baba wa kibeni ten chake.
Uhusiano wao ukaja kuzaa mapenzi na siku moja Mama huyo akajikuta anagonganisha magari... Baba mtu na mtoto wake...
Tokea tukio hilo litokee Mmama huyo hajaonyeshwa Tena! Lilikuwa vumanizi la aibu! Aliyeshinda ni mtoto na ni baada ya kuanza kumblacmail babake.
hatar watu wazima mapenzi yanawapelekesha