Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

Huko vigwaza Ni surveyed plots? Mshaweka beacons za wizarani ? Vp eneo limesafishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo viwanja vya vigwaza sidhan km viko karibu na huduma za kijamii km jamaa anavyovipamba kwenye tangazo lake ...hata kupimwa tuu nna mashaka kama hayo yote ana uhakika nao aweke picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwangwa ndio wapi?
 
Pamoja na angalizo kuwa isiwe Pwani, Kibaha, jaribu Kitanga- inapakana na wilaya ya Ilala- Nzasa. Fanya matembezi huko, mtafute mzee mmoja maarufu "Ungando".... Hutojutia matokeo yake. Kila la kheri.
 
Kwa maeneo hayo hupati Dar. Milioni Tatu unaweza kupata kiwanja kidogo sana labda 10×15 maeneo ya Dar huko ndani ndani kama Kerege huko kuelekea Bagamoyo
 
Kwahiyo milioni 2 labda ukute watu wanadaiwa bill mochware. Viginevyo we elekea Kisemvule tu au Vikindu
 
Ww n Dalali au vyako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…