Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Dr MziziMkavu naomba na Mimi nifafanulie tarehe 24 Mwezi 12
 
Huko Namibia hamna rate kubwa ya ubakaji? ili mi mdada niende nikapange zangu getho niwe naagiza vitu china nauza.
 
south africa,namibia,botswana na moroco hakuna tofauti na tz but ukiweza ingia qatar or kuwait
 
Mauritius ukiweza kuingia jua umetoboa ila gharama za maisha kama ulaya kwenye kile kisiwa. Ukiweza kuingia unaweza kutafuta upenyo ukaingia visiwa vya reunion na Mayotte ambavyo ni sehemu ya ufaransa hapo utakuwa umetoboa
 
Unaingiaje hivyo visiwa, share wote tupate Elimu maana Mauritius ni free visa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…