Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Mkuu kwani yanaishi mawe uko K/njaro?Hivi kilimanjaro kuna ulozi?
Ajabu....nimeshangaa sana...Hivi kilimanjaro kuna ulozi?
sa unashangaa nini? kwani hawawezi hata kukodi?Ajabu....nimeshangaa sana...
mkuu usizarau watuOndoa Kilimanjaro hapo kule ni empty set hawajui kitu wale nimeishi huko
Nadhani yakiandaliwa mashindano ya kulogana watakaoburuza mkia ni kutoka kilimanjaro. Huko kanda ya ziwa ndio wanaweza hayo mamboAjabu....nimeshangaa sana...
Wanaishi watu wasioujua uchawiMkuu kwani yanaishi mawe uko K/njaro?
Ungetaja hasa kuloga eneo lipiHaya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.
Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?
Je kuna waliosahaulika hapo?
Kilimanjaro wana ulozi gani? Hiyo jamii ina import kutoka mikoa uliyotaja ila hawana uloz wa maanaHaya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.
Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?
Je kuna waliosahaulika hapo?
Huyo braza kede kalewa mkuu😁
Tabora ni noma baba, kuna mtu alinisafiria kutoka Moro kwenda kule kunivurugaHaya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.
Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?
Je kuna waliosahaulika hapo?