Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

Hiyo sensa ya kitaifa uliifanya??😂😂😂😂
 
Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.

Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?

Je kuna waliosahaulika hapo?
Toa Kilimanjaro, yaani ifute fasta na uweke Rukwa na then utafute namna ya kuzichomeka Njombe, Shinyanga na Pemba.
 
Kuna mkoa usiokuwa na warogi kweli, sema kwenye kuongoza tu
 
Nyie mnaoishi mbali ndiyo mnajadili hayo mambo , nimeishi Tanga miaka zaidi ya 24 hakuna huo upuuzi ...Ni wajinga wachache wanaomini ...Hakuna ulovi ni kujishtukia ,kila mtu yuko busy na maisha yake.
 
Ulozi wenyewe haupo. Mnashindanisha kitu ambacho hakipo. Story za wajinga zinazotamalaki kwenye jamii za watu wajinga na maskini. Elimu na kipato vikiongezeka mtaacha hizi Imani za kijima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…