Nyie mnaoishi mbali ndiyo mnajadili hayo mambo , nimeishi Tanga miaka zaidi ya 24 hakuna huo upuuzi ...Ni wajinga wachache wanaomini ...Hakuna ulovi ni kujishtukia ,kila mtu yuko busy na maisha yake.
Nenda usangi na ugweno ndio utajua wapo kilimanjaro au KenyaNadhani yakiandaliwa mashindano ya kulogana watakaoburuza mkia ni kutoka kilimanjaro. Huko kanda ya ziwa ndio wanaweza hayo mambo
Boma tu hapo ni shida, hujaingia Sanya.Ajabu....nimeshangaa sana...
Kuna uzi hapa wa shule haitaki wageni huko kwenye jina la mlima mrefu, sasa watu waliowahi kuishi na kufundisha huko walikuja na kuandika waliyowahi kukutana nayo huko ikiwa pamoja na ndumba nangaiumejuaje kiongozi?
uyu mkuu min -me ndio mlozi mkuu wa uko au?
Ongeza na geitaSimiyu, Mwanza na Shinyanga hawamo? Mikoa hiyo kama nyumba ina watu 10,possibility ya 8 kuwa wachawi ni kubwa.
Ukioa mwanamke wa huko, probability ya huyo mke kuwa mchawi ni 80 asilimia
Katavi😂😂Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.
Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?
Je kuna waliosahaulika hapo?
Hiyo ni mizimu tu,ila kilimanjaro hawajui ndumbaKuna uzi hapa wa shule haitaki wageni huko kwenye jina la mlima mrefu, sasa watu waliowahi kuishi na kufundisha huko walikuja na kuandika waliyowahi kukutana nayo huko ikiwa pamoja na ndumba nangai
Wao wanasifika kwa kipi haswa watu wa mlima😂
Yaani unakuta msomi anaogopa kurogwa ,hao wachawi hawaa hizo nguvu mpaka uwe unaamini huo upumbavu wa uchawi.Ujinga bado ni janga la taifa.
Kwa dar ni rahisi kuamini ukiona hivo ujue halijakukuta jambo chief 😂😂tuliaYaani unakuta msomi anaogopa kurogwa ,hao wachawi hawaa hizo nguvu mpaka uwe unaamini huo upumbavu wa uchawi.
Itakuwa Tangawizi hiyo, sio Tanga jiji, zamani ilikuwa waja leo waondoka leo, siku hizi waja leo kuondoka majaaliwa.Nyie mnaoishi mbali ndiyo mnajadili hayo mambo , nimeishi Tanga miaka zaidi ya 24 hakuna huo upuuzi ...Ni wajinga wachache wanaomini ...Hakuna ulovi ni kujishtukia ,kila mtu yuko busy na maisha yake.
Sijawahi kurogwa na hizo drama nimeziona sana ...Kuna mwanamke mmoja alikuwa ana mambo haya ya ugangq ,kazi kubwa ni kugombanisha watu , unasikia anakuambia '' njoo nikufanyie dawa mtu fulani anakuroga'' anamtaja mpaka jina ,ukiwa mjinga utapigana na kuchukia watu kila siku.Kwa dar ni rahisi kuamini ukiona hivo ujue halijakukuta jambo chief 😂😂tulia
Napinga Kilimanjaro kutolewa sasa hivi wanatisha kwa uloziToa Kilimanjaro, yaani ifute fasta na uweke Rukwa na then utafute namna ya kuzichomeka Njombe, Shinyanga na Pemba.
Nimeishi mpaka kesho kama nitakuwa hai ,labda nikufundishe michezo wanayofanya wale lambalamba naijua mwanzo mwisho ni utapeli na sanaa ...Hakuja uchawi wa serious...Hakuna mtaa Tanga jiji siujui .Itakuwa Tangawizi hiyo, sio Tanga jiji, zamani ilikuwa waja leo waondoka leo, siku hizi waja leo kuondoka majaaliwa.
Mimi kwakwer naamini hili jambo maana limenikuta 😂Sijawahi kurogwa na hizo drama nimeziona sana ...Kuna mwanamke mmoja alikuwa ana mambo haya ya ugangq ,kazi kubwa ni kugombanisha watu , unasikia anakuambia '' njoo nikufanyie dawa mtu fulani anakuroga'' anamtaja mpaka jina ,ukiwa mjinga utapigana na kuchukia watu kila siku.
Kitu pekee kinachokulinda ni kutokuwa na hofu juu ya hayo mambo, na pengine kutojichanganya kwa 80% kwenye jamii ya watu wengi, hasa uswahilini... Ukiwa ni mtu wa mambo yako tu peke yako, watu wanajawa na hofu pia ya kukuingia...Sijawahi kurogwa na hizo drama nimeziona sana ...Kuna mwanamke mmoja alikuwa ana mambo haya ya ugangq ,kazi kubwa ni kugombanisha watu , unasikia anakuambia '' njoo nikufanyie dawa mtu fulani anakuroga'' anamtaja mpaka jina ,ukiwa mjinga utapigana na kuchukia watu kila siku.
We amini Kisha usiyafuatilie kijana wa Yesu utakua swafi kabisaKitu pekee kinachokulinda ni kutokuwa na hofu juu ya hayo mambo, na pengine kutojichanganya kwa 80% kwenye jamii ya watu wengi, hasa uswahilini... Ukiwa ni mtu wa mambo yako tu peke yako, watu wanajawa na hofu pia ya kukuingia...
Bila Rukwa list ni batili.Braza Kede List ya vinara wa Ulozi hawa hapa:
1. Kilimanjaro
2. Katavi
3. Tabora
4. Tanga
5. Lindi
List inafuata ukonki kwenye masuala ya ndumba. Ila soma kuanzia chini kwenda juu na no 1 iondoe kwenye list. If you know you know
Mimi ni kijana wa MuhammadWe amini Kisha usiyafuatilie kijana wa Yesu utakua swafi kabisa
Sio kwa kiwango kikubwa mkuu kulinganisha na maeneo mengine ya nchi.Nenda usangi na ugweno ndio utajua wapo kilimanjaro au Kenya
Juzi watu wameanguka kanisani huko hai.
Et ulozi hakuna.