Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

Hamna chochote , Mwakinyo ni mshirikina bado mtoto mdogo tena mshamba kabisa ...Yule anaamini waganga ndiyo maana imani yake inampeleka huko.
daah basi labda tuseme tu ulozi haupo na wala haujawahi kuwepo
 
mkuu umekuwa mkali sana kuihusisha k/njaro kwa jambo hili. Una hisa pande izo au?
 
huu uzi umezua jazba nyingi sana cjui hata kwanini,,yani kdogo nilambe bani,,,watu wamekuwa wakali km nini hawataki kuguswa
 
Braza Kede List ya vinara wa Ulozi hawa hapa:
1. Kilimanjaro
2. Katavi
3. Tabora
4. Tanga
5. Lindi

List inafuata ukonki kwenye masuala ya ndumba. Ila soma kuanzia chini kwenda juu na no 1 iondoe kwenye list. If you know you know
Nasikia Kilimanjaro wananunua ulozi ..... Hata sielewi ndio inakuwaje.....
 
Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara.

Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao?

Je kuna waliosahaulika hapo?
We unapafahamu Tanga au unapasikia?
 
tushaambiwa hapa huko tanga hawana mambo ya ulozi wako vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…