Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana.
CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania kazi ya kuwaletea maendeleo kupitia ilani bora mno ya CCM, kama dira na formula ya kufikia matarajio na ndoto za maendeleo ya wananchi waTanzania kiuchumi, kijamii, kisiasa, kitaifa na kimaitafa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Asanti sana waTanzania wote kwa kutambua dhamira na nia njema ya ccm, na kukiamini na kukikubali zaidi chama cha mapinduzi kuliko vyama vingine vya siasa nchini.
Vyama vingine vya siasa nchini na hata wanachama na wafuasi wao huona hadi aibu kutaja au kuwabainisha wazi wagombea uongozi wa vyama vyao mathalani kwenye nafasi za udiwani, ubunge na hata uRais, kwasasabu huwa ni wazi hawakubaliki, hawana sifa stahiki, hawana ushawishi, hawana sera mahususi wala mipango mikakati mbadala na mahususi ya maendeleo, ispokua malalamiko tu.
Vyama hivyo husubiri wale wenye mihemko ambao hawakufanikiwa kupita kwenye mchujo wa chama tawala kutokana na kutokidhi vigezo na sifa kulingana na utaratibu wa chama hicho tawala, ndipo vyama hivyo vya siasa huwachukua hao na kuwapatia nafasi ya moja kwa moja kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kupitia vyama vyao, ikimaanisha kwamba hao waliotemwa chama tawala, ndio wana sifa stahiki zaidi kuliko wanachama wao wa muda mrefu.
Jambo hili huwavuruga na kuwagawanya sana vyama hivyo vya kisiasa, lakini hawajawahi kujifunza.
Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa ni Nov.27,2024.
Aidha,
Kongole nyngi sana kwa rais mteule wa 47 wa marekani ndugu Donald J. Trump, kwa ushindi wa kishindo jana, kufuatia uchaguzi wa kihistoria. Serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan iko tayari kufanya kazi nawe kwa maslahi mapana ya wananchi wa nchi zetu mbili. Well done Republican. God bless CCM.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.