Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #41
Hivi unajitoa ufahamu kuwa hujui ccm inavyoshinda chaguzi kwa wizi, utapeli, ghiliba..?
Msikilize huyu msema kweli hapa..
View: https://youtube.com/watch?v=H77NTG71YW0&si=3CZY4C8eLW_FkT9J
Imani thabiti ya waTanzani kwa CCM inajengwa na kulindwa na viongozi thabiti waliokabidhiwa dhamana ya kuhakisha wananchi wanapata maendeleo stahiki kwa wakati muafaka na sio vinginevyo.
hata hivyo,
mlevi na asie muadulifu ndani ya chama na serikali sikivu ya CCM atajiexpose mwenyewe tu nia na uovu wake, na kisha atakua amejiondoa mwenyewe katika kushirikiana na wengine katika kuwatumikia wanainchi waTanzania.
Infact,
serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan inafanya kazi kama timu moja kwaajili ya manufaa na maslahi mapana waTanzania wote.
Kinyume na hapo ni mamluki tu 🐒