Wapiga kura wengi zaidi Tanzania wana imani kubwa mno na wagombea uongozi wa CCM pekee

Kuna ukweli au ni mambo ya porini na kuwa ushidi hutegemea mtangaza matokea ya ushindi?
huo ndiyo ukweli wenyewe tena usio na mawaa.

kukubalika kwa CCM kote nchini kunakwenda kukipatia chama hicho ushindi wa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa Nov 27,2024,

na hatimae ushindi wa kishindo kikuu zaid katika uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Rais 2025, na bilashaka atakua ni Dr.Samia Suluhu Hassan kuoka CCM 🐒
 
Gentleman,
ukishabaini ukweli, huna haja kuexpose uvivu wako katika kusoma nyuzi kamili, na wala huna haja kubainisha ghadhabu na makasiriko yako dhidi ya mapenzi ya waTanzania kwa kuiamini, kuipenda na kuikubali CCM katika kushika hatamu ya uongozi wa nchi kuanzia ngazi ya mtaa hadi Taifa 🐒

Yote hayo ni kwa Neema na Baraka za Mungu Tu.
Unakumbuka Nape pale Bukoba alisemaje? Kama ni shujaa rudia alichosema!
 
WaTanzania wa nyoko sema misule ina imani na dubwana lisisiemu ila ukweli hatuitaki labda chawa muipigie kura
kwa Neema na Baraka za Mungu CCM madhubuti sana chini ya kipenzi cha wananchi wote Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa weledi wa kiwango cha juu sana, itaendelea kuwatumikia wanainchi kwa kuwapelekea maendeleo popote walipo, ili hatimae wananchi wote wanafaike na kufurahia matunda ya mipango na uchapakazi wa serikali sikivu ya CCM 🐒
 
Mimi Tangu ashinde Trump nimeridhika Wala sifuatilii Tena uchaguzi wa kijinga na wenge wizi wa Bongo. Shame on you CCM
Gentleman,
unadhani uamuzi wako utadhoofisha ushindi wa kishindo kwa Chama Cha ha Mapinduzi uchaguzi wa serikali za mitaa na ule uchaguzi Mkuu 2025?🤣

CCM itashinda uchaguzi, itakamata dola na itaunda serikali na kuongoza nchi na waTanzania wote ikiwa ni pamoja na wewe muungwana.

sio kwa muujiza na jambo halisi hilo 🐒
 
kwa Neema na Baraka za Mungu CCM madhubuti sana chini ya kipenzi cha wananchi wote Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa weledi wa kiwango cha juu sana, itaendelea kuwatumikia wanainchi kwa kuwapelekea maendeleo popote walipo, ili hatimae wananchi wote wanafaike na kufurahia matunda ya mipango na uchapakazi wa serikali sikivu ya CCM 🐒
Sisi tusiomtaka sio Wa Tanzania 🇹🇿 😄 🤣 😂 😆 😄 😄?
We are fed up of being ruled by a foreigner
 
Utashangaa CHADEMA wanapinga nakununa wakati wanajuwa wameshindwa hata kuweka wagombea maeneo mengi kwa sababu ya kukosa watu.chadema ni genge la kitapeli
downloadfile.png

Ccm kwanini mnatumia dola kubakia madarakani ndio kukubalika kwenu huko?
 
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa nina mashaka mliletwa duniani bahati mbaya hapo ndio napoamini baadhi ya wama wako sahihi kutoa mimba
badala ya kuamini Mungu unaamini katika ushirikiana, uchawi na mauaji ya viumbe wa Mungu wasio na hatia kwa makusudi.

Amini Mungu ili upate uhakika wa unachofikiria kipotofu na uondokane na mashaka ya maisha ulinayo..

Hata hivyo serikali sikivu ya CCM itaendelea kuwahudumia hata pale mtakapofikia hatua ya changamoto ya afya ya akili kwasababu ya ushirikiana wenu 🐒
 
😄 🤣 😂 😆 ccm na Mungu wapi na wapi?? Amri ya Mungu inakataa wizi na ccm imefanya dhambi kuu nyingi
1. Wizi (kura/pesa)
2.Uongo (kudanganya ahadi hewa, kuwa tume huru/ uchaguzi wa Haki).
3. Uzinzi kama wa bwana Balthazar
4. Ushirikina wa wagombea wa ccm kuabudu mibuyu & miungu
5. Mauaji na utekaji na upotezaji watu
 
Sina hakika na content ya mtoa uzi. Watanzania wepi? Ccm ipo moja, upinzani hauna nguvu sabab ya mifumo ya kisiasa na madhaifu ya katiba..ccm haipendwi kivile, ila hakuna mbadala, na ccm imeweka mfumo wake wakuwa unbeaten, kwa kutumia power yao na uzoefu wao wanahakikisha upinzani hawafurukuti, na wakifurukuta kidogo ghafla baadhi wanaingia kwenye mfumo wa ccm kisha inakuwa done. Hinfasi sina chama pendwa, huwa nachukulia kila chama kila mgombea mwenye qualities za kuwasaidia watanzania ndiye anayefaa..ila ccm wanacheza no zote kisha mfumo wao unabaki uleule hivyo tija ni ndogo sana...watasema ccm imefanya ivi au vile ni kweli tunaona , je ni dhambi kuwapa watanzania wengine wenye itikadi tofauti ili tuone watafanya nini? Sabab hawajawahi kushika dola kwahiyo hatuna uthibitisho kuwa watashindwa au wataharibu nchi. Ni wananchi pekee ndo wakiamua kubadirisha uongozi wanaweza..ila sasa hawa wananchi ndo wanajaa kwenye mfumo wa ccm...
eti sio dhambi kuwapa watanzania wengine wenye itikadi tofauti tuone watafanya nini?

kwani kuongoza nchi ni peremende gentleman?🤣

eti upinzan hauna nguvu kwasababu ya mifumo ya kisiasa na madhaifu ya kikatiba..

ebo? kwani hiyo katiba ni ya upinzani au ya wananchi? kama mifumo ya siasa zao ni dhaifu si wairekebishe iwe imara sasa. CCM inahusikaje hapo hali ya kua yenyewe kama chama cha siasa ina mfumo na utaratibu wake kuendesha mambo yake.

hakuna habari za eti CCM haipendwi kivile hapa. Huo ni unyonge na kutokua na uhakika.

CCM inapendwa na wananchi kila kona na kila pembe ya Tanzania. Inaaminika na kukubalika mno kitaifa na kimataifa na ndio maana hupata ushindi wa kishindo bila mbambamba ya mtu yeyote.

Umenifurahisha kukiri kwamba, kwa upinzani uliopo nchini, hakuna mbadala wa CCM Tanzania, sasa na hata milele. Inafaa upewa maua yako 🌹

waTanzania kwa mamilioni yao wameshaamua kuchagua viongoz wa serikali za mitaa kutoka CCM, Lakini pia tayari wanajipanga na kujiandaa kuwachagua wagombea uongozi wa udiwani, ubunge na urais 2025 kutoka CCM pekee.

suala la mifumo ya uendeshaji vyama vya siasa kila moja kifanye kivyake na sio kulilia mifumo ya CCM illi upinzani upate ahueni.
That one will ever happen anywhere in the world 🐒

Mungu ibariki Tanzania
 
Kuona chaguzi
Utekaji
Rushwa
Ufisadi
Umeme hamna
Barabara hamna
Shule hazina walimu na madawati
Hospital hamna dawa
Ajira Kwa vijana hamna
Kizimkazi ndo upendeleo
Maji hamna
TRA kubambikia Kodi

Nani awaamini CCM?
waTanzania katika umoja na mamilioni kwa mamilioni yao wanaipenda ccm, wanaiamini CCM na wanaikubali mno CCM, viongoz wake waandamizi ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wake Taifa comrade Dr.Samia Suluhu Hassan na wagombeaji uongozi wote wa nafasi mbalimbali katika chaguzi mbalimbali nchini.

Hata hivyo,

Pamoja na mafanikio mengi na makubwa sana katika nyanja za kisiasa, kijamii na kiuchmi. Dosari, kasoro na changamoto mbalimbali nyingine pamoja na hizo miongoni mwa ulizozitaja. Zitarekebishwa zitasahihishwa ili hatimae wananchi wote Tanzania waeweze kufurahia matunda ya mipango ya maendeleo ya serikali yao sikivu ya CCM 🐒
 
Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana.

CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania kazi ya kuwaletea maendeleo kupitia ilani bora mno ya CCM, kama dira na formula ya kufikia matarajio na ndoto za maendeleo ya wananchi waTanzania kiuchumi, kijamii, kisiasa, kitaifa na kimaitafa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Asanti sana waTanzania wote kwa kutambua dhamira na nia njema ya ccm, na kukiamini na kukikubali zaidi chama cha mapinduzi kuliko vyama vingine vya siasa nchini.

Vyama vingine vya siasa nchini na hata wanachama na wafuasi wao huona hadi aibu kutaja au kuwabainisha wazi wagombea uongozi wa vyama vyao mathalani kwenye nafasi za udiwani, ubunge na hata uRais, kwasasabu huwa ni wazi hawakubaliki, hawana sifa stahiki, hawana ushawishi, hawana sera mahususi wala mipango mikakati mbadala na mahususi ya maendeleo, ispokua malalamiko tu.

Vyama hivyo husubiri wale wenye mihemko ambao hawakufanikiwa kupita kwenye mchujo wa chama tawala kutokana na kutokidhi vigezo na sifa kulingana na utaratibu wa chama hicho tawala, ndipo vyama hivyo vya siasa huwachukua hao na kuwapatia nafasi ya moja kwa moja kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kupitia vyama vyao, ikimaanisha kwamba hao waliotemwa chama tawala, ndio wana sifa stahiki zaidi kuliko wanachama wao wa muda mrefu.

Jambo hili huwavuruga na kuwagawanya sana vyama hivyo vya kisiasa, lakini hawajawahi kujifunza.

Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa ni Nov.27,2024.

Aidha,
Kongole nyngi sana kwa rais mteule wa 47 wa marekani ndugu Donald J. Trump, kwa ushindi wa kishindo jana, kufuatia uchaguzi wa kihistoria. Serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan iko tayari kufanya kazi nawe kwa maslahi mapana ya wananchi wa nchi zetu mbili. Well done Republican. God bless CCM. :pulpTRAVOLTA:

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Jidanganye hata vyombo vya habari vya kinaa vya matekani na magharibi walimpotosha mgombea wao,mwishowe wameangukia chogo .
 
Huwa nnazima internet kwanini?
Kama mnakubalika hebu tuambie kwanini nnazima internet kila UCHAGUZI?
huenda unakua umeishiwa na bando gentleman.

hata hivyo kunaweza kutokea changamoto za kawaaida ambazo pia hutokea hata nyakati zisizo na uchaguzi. Ndiyo changamoto za technologia, na itabidi uzoee 🐒
 
Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana.

CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania kazi ya kuwaletea maendeleo kupitia ilani bora mno ya CCM, kama dira na formula ya kufikia matarajio na ndoto za maendeleo ya wananchi waTanzania kiuchumi, kijamii, kisiasa, kitaifa na kimaitafa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Asanti sana waTanzania wote kwa kutambua dhamira na nia njema ya ccm, na kukiamini na kukikubali zaidi chama cha mapinduzi kuliko vyama vingine vya siasa nchini.

Vyama vingine vya siasa nchini na hata wanachama na wafuasi wao huona hadi aibu kutaja au kuwabainisha wazi wagombea uongozi wa vyama vyao mathalani kwenye nafasi za udiwani, ubunge na hata uRais, kwasasabu huwa ni wazi hawakubaliki, hawana sifa stahiki, hawana ushawishi, hawana sera mahususi wala mipango mikakati mbadala na mahususi ya maendeleo, ispokua malalamiko tu.

Vyama hivyo husubiri wale wenye mihemko ambao hawakufanikiwa kupita kwenye mchujo wa chama tawala kutokana na kutokidhi vigezo na sifa kulingana na utaratibu wa chama hicho tawala, ndipo vyama hivyo vya siasa huwachukua hao na kuwapatia nafasi ya moja kwa moja kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kupitia vyama vyao, ikimaanisha kwamba hao waliotemwa chama tawala, ndio wana sifa stahiki zaidi kuliko wanachama wao wa muda mrefu.

Jambo hili huwavuruga na kuwagawanya sana vyama hivyo vya kisiasa, lakini hawajawahi kujifunza.

Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa ni Nov.27,2024.

Aidha,
Kongole nyngi sana kwa rais mteule wa 47 wa marekani ndugu Donald J. Trump, kwa ushindi wa kishindo jana, kufuatia uchaguzi wa kihistoria. Serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan iko tayari kufanya kazi nawe kwa maslahi mapana ya wananchi wa nchi zetu mbili. Well done Republican. God bless CCM. :pulpTRAVOLTA:

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Yaani tuseme hakuna chama mbadala. Wananchi hawana imani na upinzani wamebakia ccm wanakula ugali kwa picha ya samaki. Yaani ile ccm ya enzi ya Nyerere ya ujamaa haki na usawa bado hawajafa matumaini. Magufuli ndio aliwapa matumaini makubwa kwamba wamerejesha ile ccm ya ndoto yao bahati mbaya mwenyewe akawatoka. Umma wa wananchi wanaona bora kuishi na ccm ya matumaini kuliko kuwaamini wapinzani waliyokumbatiwa na kufadhiliwa na wanyonyaji wa jamii na nchi za kibeberu.
 
Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana.

CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania kazi ya kuwaletea maendeleo kupitia ilani bora mno ya CCM, kama dira na formula ya kufikia matarajio na ndoto za maendeleo ya wananchi waTanzania kiuchumi, kijamii, kisiasa, kitaifa na kimaitafa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Asanti sana waTanzania wote kwa kutambua dhamira na nia njema ya ccm, na kukiamini na kukikubali zaidi chama cha mapinduzi kuliko vyama vingine vya siasa nchini.

Vyama vingine vya siasa nchini na hata wanachama na wafuasi wao huona hadi aibu kutaja au kuwabainisha wazi wagombea uongozi wa vyama vyao mathalani kwenye nafasi za udiwani, ubunge na hata uRais, kwasasabu huwa ni wazi hawakubaliki, hawana sifa stahiki, hawana ushawishi, hawana sera mahususi wala mipango mikakati mbadala na mahususi ya maendeleo, ispokua malalamiko tu.

Vyama hivyo husubiri wale wenye mihemko ambao hawakufanikiwa kupita kwenye mchujo wa chama tawala kutokana na kutokidhi vigezo na sifa kulingana na utaratibu wa chama hicho tawala, ndipo vyama hivyo vya siasa huwachukua hao na kuwapatia nafasi ya moja kwa moja kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kupitia vyama vyao, ikimaanisha kwamba hao waliotemwa chama tawala, ndio wana sifa stahiki zaidi kuliko wanachama wao wa muda mrefu.

Jambo hili huwavuruga na kuwagawanya sana vyama hivyo vya kisiasa, lakini hawajawahi kujifunza.

Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa ni Nov.27,2024.

Aidha,
Kongole nyngi sana kwa rais mteule wa 47 wa marekani ndugu Donald J. Trump, kwa ushindi wa kishindo jana, kufuatia uchaguzi wa kihistoria. Serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan iko tayari kufanya kazi nawe kwa maslahi mapana ya wananchi wa nchi zetu mbili. Well done Republican. God bless CCM. :pulpTRAVOLTA:

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Dar es salaam hakuna MAJI
Naambiwa waziri wa maji anatembelea gari ya ml 500 hivi tena anasema imechakaa haina comfort
Kidumu chama cha majambazi
Adui mkubwa wa tz ni ccm
 
Mtaji wa CCM ni wananchi wengi wajinga, policcm na tumeccm.
endeleeni kuwadhihaki wananchi kadiri muwezavyo ladies and gentlemen,
bahati nzuri wananchi wapiga kura wanawafahamu vizuri sana, kwamba ni wanachama na viongozi wa vyama gani vya siasa wenye dhihaka na dharau za aina yako.

Hata hivyo,
Nov,27.2024 wananchi hao uliowadhihaki hadharini wanakwenda kufanya uamuzi wa kuichagua CCM kwa mustakabali wa ustawi wa maendeleo katika maeneo ya mitaa na vijijini wanamoishi 🐒
 
Back
Top Bottom