Uchaguzi 2020 Wapinzani hamkujiandaa vyema; mkishindwa msilete nongwa

jibu swali,kishindo hata Iddi Amini alikuwa nacho tena Magufuli anaingia mara 8
Kwamba wewe hauoni kwamba wapinzani wao kwa wao wanageukana hawana common say, jingine wapinzani hawaelewi wanachokisimamia rejea walivyoondoka bungeni kwa visingizio cha Covid 19 na kurejea haraka haraka walionesha udhaifu wa hali ya juu.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Propaganda hazitasaidia wakati huu wananchi wameshaamua. Subirini mnyolewe
 
Nishapiga kura kwa Lissu na Mdee
Magufuli ndio anaenda kushinda kwa kishindo kikubwa..poleni sana.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Magufuli ndio anaenda kushinda kwa kishindo kikubwa..poleni sana.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Unafikiri ni kwa sababu zipi zitakazompa ushindi magufuli?
 
Umesoma uzi kabla ya kucomment kweli? Kwakukusaidia rekodi yake katika kufanya kazi kizalendo ndio zitakazo mbeba.

Kama haujapiga kura uwahi ukampigie Rais Magufuli.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Umesoma uzi kabla ya kucomment kweli? Kwakukusaidia rekodi yake katika kufanya kazi kizalendo ndio zitakazo mbeba.

Kama haujapiga kura uwahi ukampigie Rais Magufuli.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ww umeniambia Rais magufuli anaenda kushinda kwa kishindo Mimi nikakwambia utoe sababu umeshindwa kutoa
Mimi nasema Lissu atashinda kwa sababu
-atapandisha madaraja na mshahara
-atatoa huduma bora ya maji safi na salama kwa kushirikiana na private sector
- ataruhusu wakulima kuuza mazao popote penye bei nzuri
-atajenga barabara vijijini kule ambako utajiri wa nchi hii unatoka i.e mazao
-atatoa ajira kwa vijana kwa kushirikiana na sector binafsi
-atapunguza kodi ya mashirika hadi 15-20% hence atachochea uwezekazaji hence kuongezeka kwa ajira
-atatoa fidia kwa makundi haya waathirika wa bomoa bomoa, waliofukuzwa kwa vyeti feki na wale wa darasa la 7
 
Sasa nilichokuambia umekiona bwana Saveya.

Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
 
Propaganda hazitasaidia wakati huu wananchi wameshaamua. Subirini mnyolewe
Wananchi wameamua kweli ...Hongera CCM

Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
 
Hongera CCM kwa wizi wa kishindo

sasa tutarajie tanzania kua kama ulaya
Sasa nani angewapigia kura hamnadi sera nyie ni masimulizi mtu unazungumzia vitambulisho saa zima wakati wenye navyo wanajua namna vinavyowasaidia hapo si ni sawa unapishana na gari la mshahara.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM

hongera ccm kwa wizi wa kishindo. sasa watanzania watakua mabilionea
mana mbowe na lissu ndio walikua wanakwamisha maendeleo ya watanzania,
 
Mark my words. Tundu Lissu ndo mshindi wa uchaguzi wa mwaka huu na God willingly ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025

Mark my words pia kwa yaliyofanyika kuamkia jana tu huko Zanzibar, Magufuli, Mabeyo, Sirro, Diwani ni washtakiwa watarajiwa wa ICC

Lord denning kwakweli ulikuwa moto sana kijana wangu nafikiria sasa umejifunza na utakuwa balozi mzuri kwa wenzio.

Back
Top Bottom