Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichokijua na kinachokupa kiburi ni kwamba shetani hana rafiki.You are not safe fox!Acha habari za kusikiasikia wewe...Mzalendo wa kweli Magufuli anaenda kuwafundisha adabu kesho asubuhi na mapema.
Congratulations in advance President Magufuli
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Chama Tawala ni kipi? Ukipata jibu utawajua wapinzani ni wepi? Ila kwa kukusaidia ni wale ambao kazi zao ni kupinga pinga tuu.Mpinzani ni nani?
Acha kulia lia kwani aliyekuambia Lisuu atawapa mabilion watu ni nani? Hakuna cha bure watu wafanye kazi.familia yako mafukara na bado mnataka ufukara zaidi kwa kuchagua watu watakaowafanya muwe mafukara zaidi
pole sana kibaraka wa lumumba
Wanabodi,
Hapa naomba nisiseme mengi, msikilize mwenyewe Mwana JF, maarufu kuliko wote all time, Mkuu Mzee Mwanakijiji, akiuzungumzia ukweli mchungu wa kumhusu Tundu Lissu katika uchaguzi huu.
P
Hizo andika wewe mjomba...Tarehe 29 October tujumuike kusheherekea USHINDI wa KIHISTORIA kwa Magufuli.Mbona umesahau kuandika kuwepo kwa kesi nyingi za kubumba , upotevu wa trillion 1.5 , au haya yalitokea awamu ya kwanza?
Halafu ndio mnasema Uhuru,haki na maendeleo ya watu wakati hamuwezi kuheshimu uhuru wa mawazo yale msiyoyapenda.Pumbavu kabisa, msaka tonge wewe, huna lolote
Anaapishwa kufanyaje tena maana kama ni uchaguzi huu hatoboi.Wacha kujitoa mshipa wa fahamu mzee wewe..
Baada ya kuapishwa MH Tundu A Lissu sijui Utajipendekeza kwa nani tena !!
Hayo mambo mengi aliyoyafanya wewe na familia yako yamewasadiaje katika kuinua uchumi wenu?Magufuli kafanya mambo mengi sana tena sana katika nchi hii.
Hawa vijana na matusi yao tunawaacha waendelee kutukana tu.
Lakini ukija katika suala la uongozi, hatuwezi kuwapa nafasi hata kidogo!
Hili ndilo tatizo lenu kubwa mnafikiria umimi kuliko Taifa, mimi barabara zinapokuwa vizuri nikafika kwa wakati,madawa,elimu,mawasiliano bidhaa zikapatika bila ya kuwa na mifumuko ya bei ni MAENDELEO tosha, na tunapoendelea kwa kasi ya Magufuli tutafika tunapopataka.Hayo mambo mengi aliyoyafanya wewe na familia yako yamewasadiaje katika kuinua uchumi wenu?
Tupo vizuri miaka yote.Hayo mambo mengi aliyoyafanya wewe na familia yako yamewasadiaje katika kuinua uchumi wenu?
Maendeleo ya mtu mmoja mmoja ndio huleta maendeleo ya Taifa! sasa wewe kama mtu hunalo ulilolipata hayo ya Taifa yanakupa faraja gani?Hili ndilo tatizo lenu kubwa mnafikiria umimi kuliko Taifa, mimi barabara zinapokuwa vizuri nikafika kwa wakati,madawa,elimu,mawasiliano bidhaa zikapatika bila ya kuwa na mifumuko ya bei ni MAENDELEO tosha, na tunapoendelea kwa kasi ya Magufuli tutafika tunapopataka.
Congratulations in advance President Magufuli
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA