Vipi Maalim alisema yeye ndio atakuwa pale mbele wapige risasi yeye..yupo wapi sasa?
Vijana tuache kutumika yeye familia yake ipo salama uzao wake upo Canada na huko Ulaya na kamwe hawezi kuwa mbele akiongoza vurugu.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Nini cha kuvaa ili kujikinga dhidi ya mabomu ya machozi na aina nyenginezo za moshi wa kemikali wakati wa maandamano?
1. Vitambaa vya uso: iwe mitandio au bandana kubwa za kutosha kujifunika kutoka pua hadi kidevu.
2. Hakikisha unavaa kinga kwenye macho iwe kwa kutumia miwani ya jua, au ya kuogelea nk.
3. Hakikisha unafunika ngozi yako yote kadiri iwezekanavyo kwa kuvaa suruali ndefu na shati/fulana zenye mikono mirefu.
4. Vaa viatu madhubuti na ambavyo unaweza kuendea navyo mbio.
5. Vipuri vya masikio (earplugs) ili kusaidia kupunguza sauti ya mabomu na risasi.
Nini cha kuchukua wakati wa maandamano?
1. Maji kwenye chupa yako ya plastiki utakayotumia kuosha ngozi yako au macho.
2. Mkoba wa kuvaa mgongoni utakaoweza kuweka vitu muhimu kama chupa ya maji, kitambaaa, vaseline, nk.
3. Kitambulisho au kitu cho chote kinachoweza kutoa taarifa zako wakati wa dharura.
3. Kuchukua simu ya smartphone itakayokuwezesha kuwasiliana na kurekodi kila matukio yote ya uvunjifu wa amani yanayofanywa iwe na polisi, vikosi, majeshi nk.