Uchaguzi 2020 Wapinzani hamkujiandaa vyema; mkishindwa msilete nongwa

Uchaguzi 2020 Wapinzani hamkujiandaa vyema; mkishindwa msilete nongwa

Wanabodi,

Hapa naomba nisiseme mengi, msikilize mwenyewe Mwana JF, maarufu kuliko wote all time, Mkuu Mzee Mwanakijiji, akiuzungumzia ukweli mchungu wa kumhusu Tundu Lissu katika uchaguzi huu.

P
Kwa vile huna adabu ndio unayoyapenda hayo mbona ikiwa mnajiamini hamwezi kuendesha uchaguzi huru na haki nabadala yake mmeanza ujinga toka zamani. Yaani wallah nyinyi ni wakukatwa vichwa wajinga wakub wa.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Pascal Mayalla Binafsi navutika Sana na hoja zako za humu ikiwemo na ulioleta sema baadhi ya wafia chama humu wanataka utoe mawazo Kama wao wanapenda kudai demokrasia lakini hawaishi kwenye demokrasia hapa wanajianda kwa matusi watakayo kuja nayo kukutukana, walishindwa kujibu hoja wanakimbilia matusi.Mzee baba usihofu tupo tunakuelewa endelea kutupa hoja nzuri.

Wewe Juma Lokole jukwaa lako ni lile la udaku, songa huko.
 
Huo ushauri ndiyo unaokwenda kuwamaliza chadema kabisa kama wakiufuata, Tundu Lisu hana uwezo huo mnaomsifia nao, hana kabisa kwanza kama wagombea Uraisi wangekuwa wanafanyiwa interview asingepita aptitude test, ingemuondoa mapema sana.
Sasa kumpima Tundu na mjue kwamba sio mtu sahihi kwa chadema, subirini matokeo ya uchaguzi Mkoa wa Kilimanjaro ambapo ndio ngome ya chadema kihistoria, Tundu atafanya vibaya Mkoa wa KLM kuliko vipindi vyote vilivyopita tangia kuanzishwa kwa Upinzani TZ, ...
 
Nimeona screenshot moja toka kigroup kimoja cha mataga naona dawa imeanza kuingia wanashindwa hata kupakua kipicha cha KB 10! Sasa ni kulia lia sasa kama mnakubalika na mlisema mtandaoni hakuna wapiga kura ilo rungu mliloweka huko kwenye mitandao isifunguke ni nini?
 
Wanabodi,

Hapa naomba nisiseme mengi, msikilize mwenyewe Mwana JF, maarufu kuliko wote all time, Mkuu Mzee Mwanakijiji, akiuzungumzia ukweli mchungu wa kumhusu Tundu Lissu katika uchaguzi huu.

P
Toa hapa taka taka zako , mavi ya Kuku
 
100%
IMG_20201020_213934.jpg
 
Ukileta fujo, aanh utapigwa tu.

Tunawasubiri muingie barabarani!
familia yako mafukara na bado mnataka ufukara zaidi kwa kuchagua watu watakaowafanya muwe mafukara zaidi
pole sana kibaraka wa lumumba
 
Ni vyema kuti na kufuata sheria kama utavunja sheria utashughulikiwa.

Congratulations Magufuli in advance.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
familia yako mafukara na bado mnataka ufukara zaidi kwa kuchagua watu watakaowafanya muwe mafukara zaidi
pole sana kibaraka wa lumumba
 
Kwa mustakabali wa nchi
CCM na Magufuli wanapaswa kushinda

Kinyume na hapo; (i) Muungano wetu utakuwa mashakani, (ii) Umoja wa kitaifa tulionao sasa nao utakuwa mashakani, (iii) Amani na Usalama tulivyonavyo sasa navyo vitakua mashakani, (iv) Soveregnity nchi iliyonayo sasa itakua mashakani, nk.
 
Hebu elezea alivyopambana na covid 19!!!!
Mapambano na Covid 19 ni pamoja na kuingoza wizara ya afya katika kuhakikisha Watanzania wanajikinga dhidi ya maambukizi lakini kuhakikisha walanguzi kama wewe hamtumii fursa ya ugonjwa huu kupandisha bei za vifaa vya kujikinga na maambukizi.

Kubwa kuliko ameonesha msimamo "hakuna cha lockdown wala Baba yake lockdown " wapinzani walitaka wananchi wafungiwe ndani sijui wangewaletea chakula? Wakatoka bungeni hata wale wenzao waliogoma kutoka wakawashughulikia kwa kuwafukuza uanachama na hapa tunashukuru busara za Spika Ndugai alipoonesha msimamo wa kuhakikisha wale wabunge wazalendo hawahujumiwi.

Hawakukaa muda wakarudi wenyewe huku wakitaka posho wasizozifanyia kazi.

Hakika Magufuli anahitaji pongezi za dhati na kupewa 5 Tenaa.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Uchaguzi ni fundisho kwa wale wanaowania uongozi na wale watakaopiga kura kuwachagua viongozi wao.
Lakini kwa sisi tulio wengi,hatuna pressure na mikiki ya wanaowania viti hivi.
 
Wanabodi,

Hapa naomba nisiseme mengi, msikilize mwenyewe Mwana JF, maarufu kuliko wote all time, Mkuu Mzee Mwanakijiji, akiuzungumzia ukweli mchungu wa kumhusu Tundu Lissu katika uchaguzi huu.

P

Mark my words. Tundu Lissu ndo mshindi wa uchaguzi wa mwaka huu na God willingly ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025

Mark my words pia kwa yaliyofanyika kuamkia jana tu huko Zanzibar, Magufuli, Mabeyo, Sirro, Diwani ni washtakiwa watarajiwa wa ICC
 
Lakini na TL nae kaahidi kujenga barabara nzuri
Aliahidi lini maana sera yake ni kusemanasemana na masimulizi yasiyoisha.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nimeona screenshot moja toka kigroup kimoja cha mataga naona dawa imeanza kuingia wanashindwa hata kupakua kipicha cha KB 10! Sasa ni kulia lia sasa kama mnakubalika na mlisema mtandaoni hakuna wapiga kura ilo rungu mliloweka huko kwenye mitandao isifunguke ni nini?
Watu tuko VPN maisha mazuri sana. Kweli Mungu mbariki kigogo
 
Back
Top Bottom