Kwamba wewe hauoni kwamba wapinzani wao kwa wao wanageukana hawana common say, jingine wapinzani hawaelewi wanachokisimamia rejea walivyoondoka bungeni kwa visingizio cha Covid 19 na kurejea haraka haraka walionesha udhaifu wa hali ya juu.jibu swali,kishindo hata Iddi Amini alikuwa nacho tena Magufuli anaingia mara 8
Unafikiri ni kwa sababu zipi zitakazompa ushindi magufuli?Magufuli ndio anaenda kushinda kwa kishindo kikubwa..poleni sana.
Congratulations in advance President Magufuli
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Umesoma uzi kabla ya kucomment kweli? Kwakukusaidia rekodi yake katika kufanya kazi kizalendo ndio zitakazo mbeba.Unafikiri ni kwa sababu zipi zitakazompa ushindi magufuli?
Ww umeniambia Rais magufuli anaenda kushinda kwa kishindo Mimi nikakwambia utoe sababu umeshindwa kutoaUmesoma uzi kabla ya kucomment kweli? Kwakukusaidia rekodi yake katika kufanya kazi kizalendo ndio zitakazo mbeba.
Kama haujapiga kura uwahi ukampigie Rais Magufuli.
Congratulations in advance President Magufuli
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Sasa nilichokuambia umekiona bwana Saveya.Ww umeniambia Rais magufuli anaenda kushinda kwa kishindo Mimi nikakwambia utoe sababu umeshindwa kutoa
Mimi nasema Lissu atashinda kwa sababu
-atapandisha madaraja na mshahara
-atatoa huduma bora ya maji safi na salama kwa kushirikiana na private sector
- ataruhusu wakulima kuuza mazao popote penye bei nzuri
-atajenga barabara vijijini kule ambako utajiri wa nchi hii unatoka i.e mazao
-atatoa ajira kwa vijana kwa kushirikiana na sector binafsi
-atapunguza kodi ya mashirika hadi 15-20% hence atachochea uwezekazaji hence kuongezeka kwa ajira
-atatoa fidia kwa makundi haya waathirika wa bomoa bomoa, waliofukuzwa kwa vyeti feki na wale wa darasa la 7
Hongera CCM kwa wizi wa kishindoNgapi hukooo unahesabu lakini?
Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
Sasa nani angewapigia kura hamnadi sera nyie ni masimulizi mtu unazungumzia vitambulisho saa zima wakati wenye navyo wanajua namna vinavyowasaidia hapo si ni sawa unapishana na gari la mshahara.Hongera CCM kwa wizi wa kishindo
sasa tutarajie tanzania kua kama ulaya
hongera ccm kwa wizi wa kishindo. sasa watanzania watakua mabilioneaSasa nani angewapigia kura hamnadi sera nyie ni masimulizi mtu unazungumzia vitambulisho saa zima wakati wenye navyo wanajua namna vinavyowasaidia hapo si ni sawa unapishana na gari la mshahara.
Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mark my words. Tundu Lissu ndo mshindi wa uchaguzi wa mwaka huu na God willingly ndo Raisi wako wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
Mark my words pia kwa yaliyofanyika kuamkia jana tu huko Zanzibar, Magufuli, Mabeyo, Sirro, Diwani ni washtakiwa watarajiwa wa ICC